Kupenda dini na kumpenda Mungu ni tofauti ikiwa unampenda Mungu kweli basi usijiwekee mipaka .
Sehemu pekee inayowakwamisha watu wa dini ni kujiwekea mipaka .
Mungu ni omnipresent na ni omnipotent Mungu hana mipaka na yupo mahala popote.
So katika kufanya 'manifestation' ni jambo la kweli na linatokea Mimi huwa nafanya Sana manifestation katika baadhi ya mambo yangu.
Ikiwa jambo haulielewi usilibishie Ila jaribu kulichimba kwa ndani.
Mambo ya kiroho hayana mipaka unaweza kutoka hapo ulipo na ukachungulia Mahala popote duniani maana universe imeunganishwa ni kitu kimoja.
Follow ur heart - hii ni kweli
Manifest ur dream - ni kweli
So dig more knowledge u will become smarter than you used to be.