New Age Paganism

New Age Paganism

Nitakataa kwa kutetea imani yangu.
Basi hakuna point ya kukuonesha logic kuwa Mungu hayupo.

Kwa sababu hata nikikuonesha, utakataa kwa kutetea imani yako.

Uko hapa kutetea imani yako, si kujifunza au kufuata logic.
 
main-qimg-2639ee1a6c50e6480c2b44fd52f79bb9.jpeg
 
Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Je wajua ikisha kua na hakika hata kwa mujibu wa dini yako na kitabu chako hiyo sio imani tena?
 
Wale wote wanao katili nafsi za wenzao basi kwa Mungu hawana nafasi na kuua ni dhambi.
Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.
 
Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD
How can you be attached with God without accepting his rules and limitations? And where can we find God rules except on his own books?
 
Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.
Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake
 
Back
Top Bottom