Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #101
Not only faith but I have strong FAITH.Je wewe Una bealife au Una faith ?
Tufanye philosophy kidogo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not only faith but I have strong FAITH.Je wewe Una bealife au Una faith ?
Tufanye philosophy kidogo leo
Labda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa.Mtu anasema ameokoka unamwelewaje ? Ili uokoke simpaka ufe like Jesus!!
Basi hakuna point ya kukuonesha logic kuwa Mungu hayupo.Nitakataa kwa kutetea imani yangu.
Not only faith but I have strong FAITH.
Huu ndo ukweliLabda wanamaanisha wanajikaza wasifanye dhambi au makosa.
Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejeaImani yako ina uhakika upi?
Je wajua ikisha kua na hakika hata kwa mujibu wa dini yako na kitabu chako hiyo sio imani tena?Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Mungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.Wale wote wanao katili nafsi za wenzao basi kwa Mungu hawana nafasi na kuua ni dhambi.
How can you be attached with God without accepting his rules and limitations? And where can we find God rules except on his own books?Ukiwa na FAITH maana haupo attached na dini Bali upo attached direct with GOD
Ahsante pia komrediUzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri, inahitaji akili kubwa kudadavua na kuelewa. Ahsante komredi!
Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yakeMungu yupi kwanza kwa sababu nadharia ya Mungu kwa mujibu wa hizi dini mbili kubwa anaonekana kabisa na yeye kashaua maelfu ya watu.
Mchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawncc: Alister Crowley
Mungu angekuwepo ata nisingepaswa kutakwa kuamini yupo.Kama huamini katika Mungu, basi hata nieleze hapa kwa maneno elfu bado hatuwezi kuelewana. Chamsingi kila mtu abaki na imani yake
The cult masterMchawi mahiri kabisa mwana Thelema,mwana The Golden Dawn
Hayo ni maneno ya kiimani tu na sio uhakika .Ina uhakika kwamba hakuna anaye paswa kuabudiwa zaidi ya Mungu mmoja, na kwamba sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Sawa mkuuMungu angekuwepo ata nisingepaswa kutakwa kuamini yupo.