New Avatar alert: My real photo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naona umeamua kuwanyanyapaa kbs

Aaah ndo maana Mungu alituumba tofauti. Kila mtu na taste yake. Si unamuona demi. Hapo ndo furaha yake.

Mimi bana hapana kabisa hata kuwatizama. Like wise kuna wkaka wakiona short chassis kama sisi wanatuita mitungi ya gesi πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£kutesa kwa zamu acha leo wakipate pateeee
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ww umo kwa wale wakuwasema wakaka wafupπŸ˜‚πŸ˜‚ mie nimeamua kuwa balozi wao niwatetee tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ww umo kwa wale wakuwasema wakaka wafupπŸ˜‚πŸ˜‚ mie nimeamua kuwa balozi wao niwatetee tu

Hapana. Wafupi siwasemagi aisee hata wale wenye uume mdogo siwezi wasema . Ni maumbile.

Lakini hawa wembamba ni kusudiiiii. Mwanamme unakuwaje tumifupa tuuuuuu. Hapana. Hawa nawasema. 😁😁😁🀣🀣🀣🀣🀣. Mkeo anakazana kukupikia maporopocho weeee, na wewe unasukuma vyote ndani lakini hata kuongezeka kilo 2 za shukrani huweziiii.
 
Hahaha!

Kumbe na wewe mkorofi korofi!
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wanaumizaga sana sehem za ndan ya mapaja ya mwanamke..lazma unywe panadolπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..@saint Ivuga njoo huk😷😷
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wanaumizaga sana sehem za ndan ya mapaja ya mwanamke..lazma unywe panadolπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..@saint Ivuga njoo huk😷😷

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ngoja nikuitie vizuri. Japokuwa sijajua umemuita kwa nia gani acha nitoke msaada yakinikuta hayaaaa Saint Ivuga
 
Mmh wembamba inategemea. Sijawahi date na kimbaumbau..bas tu nimemuimagine mtoa mada na kiuno chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…