New Avatar alert: My real photo

New Avatar alert: My real photo

eti anayesifiwa kwa uzuri ni mwanaume
eti mwanaume
Aibu nimeona mimi


Sipendi kupiga watu sampuli hiyo nitaona kama napiga mtoto wa kike

mwanaume unakuwa vipi soft
maanaake kuna mafuta unapaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mwanaume hatakiwi kuwa soft!!
 
Mkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.
Unasema? [emoji102][emoji1472]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua labda tunatofautiana viwango ila sijaona handsome hapo naomba munisamehe
 
Back
Top Bottom