New Avatar alert: My real photo

New Avatar alert: My real photo

Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.

Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wadada kazi kwenu[emoji2][emoji2][emoji2] Mwamba huyo hapo[emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.

Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu
Tunakamatwa sana kuhisiwa ni waamihaji haramu. Wananihisi mi mnyarwanda wengine wanaenda mbali kabsa kuniita msomali

Una lolote la kutuambia kuhusu uchotara wako,huku ukihisiwa kuwa mnyarwada au msomali mkuu?
 
Back
Top Bottom