Sasa huoni wewe kama ni short chassis unatakiwa uwe kidogo na mwanaume mrefu mwembamba?Samtaim napendaga kujitoa ufahamu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mmh wembamba inategemea. Sijawahi date na kimbaumbau..bas tu nimemuimagine mtoa mada na kiuno chake
Sema mwanaume mwembamba anatakiwa akutane na mwanamke mwenye nyama kidogoo,maana akikutana na mwembamba tena, wanaweza wakatengeneza moto kwa ule msuguanomifupa ile ya sehem za kinena...inakuumizq ww mwanamke
Samtaim napendaga kujitoa ufahamu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sema mwanaume mwembamba anatakiwa akutane na mwanamke mwenye nyama kidogoo,maana akikutana na mwembamba tena, wanaweza wakatengeneza moto kwa ule msuguano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anayesifiwa kwa uzuri ni mwanaume
eti mwanaume
Aibu nimeona mimi
Sipendi kupiga watu sampuli hiyo nitaona kama napiga mtoto wa kike
mwanaume unakuwa vipi soft
maanaake kuna mafuta unapaka
Hahaha,hivi serious kuna ambao huwa wanaumia kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]huyo huyo mwenye nyama naye anaumia[emoji55]
Kuna Sabo fulani namfahamu sijui ndio wewe?Mkuu kumbe ndio wewe? Habari za siku nyingi?
Sijajua Mkuu!Kuna Sabo fulani namfahamu sijui ndio wewe?
Unasema? [emoji102][emoji1472]Mkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.
Anaishi Dar ila yeye ni mtu wa MwanzaSijajua Mkuu!
Inawezekana labda ni mimi!.
Wa wapi huyo?
Basi huyoo atakua siyo mimi Mkuu!Anaishi Dar ila yeye ni mtu wa Mwanza
wewe mimi ni bonge😂😂😂asante kuniitia huyu chembamba wangu😂😂