Wengine huwa wananenepaga wakioa,wanapata hivyo vibody body!inawezekana ukawa unapishana nao bila kujua!Sasa hii asilimia chache yenye vibody body ndo wenyewe
Mzuri SanaBaada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
InawezekanaWengine huwa wananenepaga wakioa,wanapata hivyo vibody body!inawezekana ukawa unapishana nao bila kujua!
Hahaa Jf bwanaHii inadhihirisha ulivyo na shombo za kifesibuku. Huna lolote zaidi ya kuuza sura,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Lawyers huwa mpo selective sana!Inawezekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa maani kweli usipende kucheka mbele za watu[emoji23][emoji23]
Hivyo hivyo mkuu.
[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Halafu hata kwenye uhendisamu hayupo. Ukisikia D.A kachambwa ndiyo Leo. Huu mdomo huwa unaniponza jamani.
[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo atakua chotara la ki nyankoleMachotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu
Tunakamatwa sana kuhisiwa ni waamihaji haramu. Wananihisi mi mnyarwanda wengine wanaenda mbali kabsa kuniita msomali
Una lolote la kutuambia kuhusu uchotara wako,huku ukihisiwa kuwa mnyarwada au msomali mkuu?
Thanks alot saint anne. Jina lako linaonyesha uko so cuteMzurii jamani
Na wengine wekeni Basi tuwaone[emoji2960]
Sio mnakuja pm kimyakimya bila picha
Kuna watu humu I wish niwaone
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo atakua chotara la ki nyankole
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooo kumbe ndo wewe?Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mi nimechukua maneno ya comments za mwanzo tuMwanzo mmemsifia sifia, hapo kati mmemnanga huko mwishoni sijui mtamfanyaje
Kwanini mkuu. Kwan kuna sehemu nimesema mdada asije PM?[emoji23][emoji23][emoji23]yaan km kuna mdada ataenda pm kwa huyu jamaaa bas acha ccm iendelee kutawala [emoji4]