xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
- Thread starter
- #301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama umeweka picha yangu mkuu?!#^$*×(Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Ila nimeamua niwe real kuanzia avatar mpaka comments zang
Takataka imepost takataka!
Sasa inakusaidia nini wewe kenge mzee?
Hahaahahahaa ww ni mtoto..huyu anakufaaa mkuzane wote ..umsaidie balehe yake..khaa mm hapa namweka wapi[emoji23][emoji23]atanipandisha midaladala had nife[emoji23][emoji23]
Hahaa ..Sema mwanaume mwembamba anatakiwa akutane na mwanamke mwenye nyama kidogoo,maana akikutana na mwembamba tena, wanaweza wakatengeneza moto kwa ule msuguano
[emoji4][emoji4][emoji847][emoji847]...
yaan ww una ugwadu hujui nan wa kumuabgushia zigo lako..[emoji23][emoji23]eti mie unaniita mtoto laini laini[emoji23][emoji23]
Ugwadu gani sasa. Wakat unaweza kuja ghetto tukachek movie all night long nisikusumbue jinsi niko sina ugwadu
Sent using Jamii Forums mobile app