Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
hakuna.mbaya jombaaHahahahahhahahaah! usituogopeshe ujue. Hahahahahahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna.mbaya jombaaHahahahahhahahaah! usituogopeshe ujue. Hahahahahahahha
Unayaongelea yale mabuti mkuu??Ni hensam ndio lakini wa kufunga hivi shati wanavaaga vile viatu kama za wanafanya kazi wa Tanesco
Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aiseeAsante Manengelo. Nilikuwa na vijukumu vizito kidogo.
Halafu hapo amini usiamini hiyo ndiyo best pic kwake. Mtoa mada kwa niaba yangu fungua vifungo vitatu[emoji42][emoji42][emoji42]
Zile kama abunuwas
Mdogo mdogo nenda kacheki
HII MBONA KAMA YA KUDOWNLOAD
Kudownload tokea wapi. Weka link hapa.HII MBONA KAMA YA KUDOWNLOAD
HAYA UMESHINDA