New Avatar alert: My real photo

New Avatar alert: My real photo

Mbona hilo shati kama limening'inizwa alafu ukaenda kuweka hapo picha ya sura yako ili uonekane umelivaa
Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.

Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua wengi wetu humu tunasura mbayaa nikiwemo na mie kwa wanaume nilio tembea nao wa humu cjakutana mwanaume mzuri hats mmoja wengi wao vibamia na wabahili na viela vyao....

am better here
 
Back
Top Bottom