New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Ukitaka kufanikiwa Tanzania Hamia ccm tukana wapinzani otherwise unapoteza muda
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Bongo kuna vichwa sema hatuaminiani na pia kikubwa kinachotuponza ni 10%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom