Kaleta hoja au kaleta chuki? Umeambiwa dogo kaenda veta pia hapo clouds kafanya majaribio sasa mnataka nini zaidi? Wabongo tunapenda kuonekana tunajua kila kitu tukiwa kwenye keyboardDogo, kwa hiyo uwezo wako wote wa kufikiri umeishia hapa? Bora mwenzako ameleta hoja, wewe je?