New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Ni Solution inayphitaji Smart meters (Luku) ambayo lazima iwe Online.
Na pia inahitaji Core Billing System ya kuwasiliana na Luku zote na ku update.
Similar to how Charges & Re charges works on mobile or fixed Networks.
Huyo dogo Muuza Chai tu ndio Maana Tanesco wamefukuzilia Mbali
 
Ndugu ufundi wa namna hiyo kila fundi baiskeli anaujua na kuuweza.
Kila fundi baiskeli anaweza chukua engine ya pikipiki akatengeneza frame, akaitengeneza iweze kushusha jembe ilimbe, izalishe umeme, upukuchue mahindi tena kwa kuendeshwa?
 
Ni Solution inayphitaji Smart meters (Luku) ambayo lazima iwe Online.
Na pia inahitaji Core Billing System ya kuwasiliana na Luku zote na ku update.
Similar to how Charges & Re charges works on mobile or fixed Networks.
Huyo dogo Muuza Chai tu ndio Maana Tanesco wamefukuzilia Mbali
Exactly-Hizo ni internet of things applications ni kitu ambacho watu wengi hawaelewi

Mfano sahivi Kuna smart meter za maji, mtu hawezi kuja na kusema ni ubunifu
 
100% upo sawa.👏🏻👏🏻👏🏻
Watanzania tunapenda ready made. Yani mtu akihustle ukamsikia yuko nje mfano anacheza mpira utasikia yule baba yake mtanzania wakati akiwa hapa utasikia kile kipaji cha kawaida hata watoto wa mchangani wanaweza.
Hapa namwambia jamaa kuna mzee alitumia engine ya pikipiki katengeneza frame ya trekta akatengeneza jembe linashuka linalima inafua umeme inapukuchua mahindi. anasema eti hana ubunifu aliuna una tu na kila fundi baiskeli anaweza kufanya ivyo.
 
Mtanzania kumkubali Mtanzania mwenzake ni kazi,hapo ndio umewapelekea idea yako alafu ndio unakutana na wazee wanakuponda na utawasikia "kusoma tumesoma sisi nyinyi mnacheza tu siku hizi........".

Ndio nchi yetu hii sijui itabadilika lini.
 
Aisee sasa nimeanza kuelewa kwanini watu wanaandaa mashindano ya Bongo Star Search na maigizo na wala siyo mashindano ya ubunifu
 
Ye kasema inatengemea na aina ya mita anaweza kia ttach aau akakifunga ndani.
Nadhani baadae itajulikana inafanyaje kazi
Andiko lako liko ki-layman sana bahati nzuri umeishakiri kuwa hujui.
Usipende kuongelea mambo magumu ambayo huna taaluma nayo.
 
Andiko lako liko ki-layman sana bahati nzuri umeishakiri kuwa hujui.
Usipende kuongelea mambo magumu ambayo huna taaluma nayo.
Nimeongea au nimetoa taarifa. Wewe kila unachotoa taarifa una details nayo? Mimi nimetoa taarifa kamanilivyoisikia na ndiyo maana sijaongelea mfumo wake na mechanism yake inavyofanya kazi maana hata yeye mwenyewe hajasema.
 
Watu wanakatishana tamaa, kuna kipindi kilikuwa ETV walikuwa wanaonyesha wafumbuzi huko mkoani watu wanafanya mambo lakini hakuna taasisi hata moja ya serikali inawekeza, niliona mzee katengeneza trekta zuri yani katumia engine ya pikipiki linalima, linapukuchua mahindi linazalishha umeme akawa anaomba serikali imsaidie waungane na veta na wataalam wengine wayazalishhe mengi akasema coast haifiki hata milion nane.

Mbona taasisi ipo mkuu. Inaitwa COSTECH maeneo ya Kijitonyama. Wapo pale wanakula mishahara na kuendesha gari za serikali. Hawana habari.
 
Kuna uongo hapo tayari...

Japo sipo Bongo for now ila uongo wake kwa ulichokisema hapo ni kama ifuatavyo:

1.Umeme kukaa kwa muda mrefu tayari ni uongo maana tokens za Tanesco maximum ni 30-days,baada ya hapo zina expire zinakua na status ya "old".
2.Kifaa cha kuweka kwenye mita iweze kupokea Token automatically ni uongo wa mchana peupe maana ni lazima uweke GSM module kwa ajili ya connectivity,then u-upgrade firmware ya meter husika iweze kutambua hiyo module ambapo hiyo firmware hana maana inatoka kiwandani kilichojenga hiyo mita ikiwa na password etc..hapo tayari ni uongo mweupe.
3.Ukinunua umeme unapewa token yenye tarakimu 20,ukipoteza digit moja tu hiyo token ni ya kutupa maana ni probability ya ma-trilioni ya trials ili kuipata,which ni uongo wa mchana kuipata.

Hawa madogo wanajua Watz hawana akili,wakiambiwa token "direct" watachanganyikiwa na watapata umaarufu...wanachotafuta hapo ni "umaarufu" wa siku moja...

Ongeza maelezo mengine nione uongo uliopo ndani!
Kwahiyo unaamini media kubwa kama clouds inaweza tumika kupotosha? Unajua faini watakayopigwa clouds kwa kupotosha jamii?
 
Ingawa taarifa haijazama ndani kiufundi, lakini nampa 'bigup huyo mbunifu kwa kuthubutu. Kwani kisayansi tunasema kila tokeo la kiubunifu huachia 'gap' la kuendelela ubunifu zaidi. Hivyo hata hao waliotengeneza hizo mita wanatarajia some criticism kutoka nje ambazo zitaimarisha wazo lao la awali. Bigup propriator!
 
Kwahiyo unaamini media kubwa kama clouds inaweza tumika kupotosha? Unajua faini watakayopigwa clouds kwa kupotosha jamii?
TCRA inaingia kama upotoshaji una dhuru wananchi directly..

Ila huu ni uongo wa binafsi wa kujitafutia umaarufu
 
“Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.”

Huu ni uongo mtupu.[emoji1318]haiwwzekani idea ambayo haijawa approved na tanesco eti dogo kawanunulia umeme xxl sasa kaingiaje kwenye system ya tanesco kama hawajamu approve? Na je ame link vipi systems mbili za mpesa na tanesco bila approval ya kampuni hizo mbili.

Kwaiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo ame hack live systems mbili za mpesa na tanesco akawanunulia umeme xxl?

Lakini pia iyo system haitaweza kufanya kazi bila kubadilisha mashine za luku zilizopo ili malipo ya moja kwa moja yafanyike kwenye system directly. Kwa sababu hizi luku zetu hadi ziruhusu umeme kwenye nyumba ni lazima itambue inputs za digits unazozijaza then i confirm na system ndo ifungue umeme. Kwaiyo kubadilisha mfumo wa luku wa sasa ni investment ya trillions za shillingi siyo swala la idea tu hizo systems zipo hata nigeria zinatumika ni swala la investments zaidi na siyo ki idea cha mtoto wa chuo. Zipo kampuni za vifaa vya umeme zina vifaa vyenye miundombino ya namna hiyo zinatumika nchi nyingi ulaya na japan etc.
Hakuna jinsi ya ku-modfy hizo luku?
 
Ni Solution inayphitaji Smart meters (Luku) ambayo lazima iwe Online.
Na pia inahitaji Core Billing System ya kuwasiliana na Luku zote na ku update.
Similar to how Charges & Re charges works on mobile or fixed Networks.
Huyo dogo Muuza Chai tu ndio Maana Tanesco wamefukuzilia Mbali
Akili mavi hizi
 
Hate or get inspired.....mkuu mbona kama umepata wivu kwa uvumbuzi wa kijana
Naona huu Uzi umejaa ma-layman lukuki na mmojawapo ni wewe.
Jaribu kusoma comments za members wenye hoja nzito za kitaalamu kuhusu manunuzi ya umeme ktk mita za LUKU.
Umeambiwa kuwa hii technology ambayo dogo anasema kavumbua ipo siku nyingi na TANESCO wanajua hilo.
Kwamba dogo kafunga kifaa fulani ndani ya mita, huu ni uwongo mtupu!
Kwamba ni gharama sana ku-install system ya kuingiza umeme wa LUKU moja kwa moja ktk mita ya umeme.
Sasa kosa la TANESCO ni nini basi?
Watu wapovu yametamalaki, mara oooh, wivu, roho mbaya...!
Comments nyingi zinazohusu kuonewa kwa huyu dogo zinatoka kwa watu wasioelewa vizuri mfumo wa LUKU unavyofanya kazi.
 
Hicho kitu kipo kwenye baadhi ya mita za 3phase......na tanesco huwa wanaingiza huo umeme remotely for some cases......na hii ni kwa sababu hizo mita ni smart meters na zina mfumo wa moderm pamoja na chip......lakin hizi mita nyingine za kawaida hasa za majumbani haiwezekan.......kama dogo anasema kaweza ni uongo labda apite kwenye mita mojamoja aongeze baadhi ya vitu!
 
Back
Top Bottom