New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Mbona hili wazo watu wamekuwa wakilileta huku miaka nenda miaka rudi, ila Tanesco wameweka pamba masikioni, kuna watu wanapata tabu kuoanda na ngazi eti kuingiza luku, wengine kile kimashine unakuta betri zimeisha chaji na umeme hamna, hadi ukaombe kwa jirani, mambo ya ajabu kabisa, mbona ving’amuzi tunanunua na Decoder inajifungua automatically?!
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.

“Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.”

Huu ni uongo mtupu.[emoji1318]haiwwzekani idea ambayo haijawa approved na tanesco eti dogo kawanunulia umeme xxl sasa kaingiaje kwenye system ya tanesco kama hawajamu approve? Na je ame link vipi systems mbili za mpesa na tanesco bila approval ya kampuni hizo mbili.

Kwaiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo ame hack live systems mbili za mpesa na tanesco akawanunulia umeme xxl?

Lakini pia iyo system haitaweza kufanya kazi bila kubadilisha mashine za luku zilizopo ili malipo ya moja kwa moja yafanyike kwenye system directly. Kwa sababu hizi luku zetu hadi ziruhusu umeme kwenye nyumba ni lazima itambue inputs za digits unazozijaza then i confirm na system ndo ifungue umeme. Kwaiyo kubadilisha mfumo wa luku wa sasa ni investment ya trillions za shillingi siyo swala la idea tu hizo systems zipo hata nigeria zinatumika ni swala la investments zaidi na siyo ki idea cha mtoto wa chuo. Zipo kampuni za vifaa vya umeme zina vifaa vyenye miundombino ya namna hiyo zinatumika nchi nyingi ulaya na japan etc.
 
Kuna watu huwaga wanatutukana sana humu mainjinia lakini na kwambia siku nenda UDSM,UDOM,DIT ktk final year project presentation ndio utagundua watu wanafanya vitu vingi vizuri sana ,ila ndio vile hapromotiwi wala kuendelezwa.

Hata hizo project wanazifanya kwa kutumia hela zao za mifukoni mwao hawana support na ndio maana mimi humu JF nikimwona mtu anatuponda huwaga najua ni kilaza asiyejua madogo wengi wabunifu wanapitia vikwazo vingi sana mpaka wengine wanakata tamaa japokuwa uwezo wanao.

Ila si shangai Tanesco kutompa ushirikiano dogo,si unajua nchi yetu tushazoea 10% hizi alafu wanaona kama ikifanywa na wa TZ hawatopiga hela ndefu.
Support inatafutwa haiji tu.
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Twende taratibu...

Ukinunua umeme kwa simu unaenda moja kwa moja wapi?

Maana tusije ongea tu kama tumepigwa ufunguo...

Umeme kwenda moja kwa moja kwenye meter za Tanesco as we speak ni ngumu,inatakiwa tanesco wa upgrade hardware zao,which ni hasara kwao..

Pia kununua umeme kwenye simu tayari mitandao ya simu inafanya kukiwa na internet na bila internet

Sasa sijui nyie mnaongelea mataputapu gani hasa?

Huyo dogo yaelekea yupo overwhelmed ni kutokujua,alichokijua yeye kumbe tayari ndio kinafanya kazi now kwa mitandao yooote!

Let me hear some diarrhea hapa!
 
“Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.”

Huu ni uongo mtupu.[emoji1318]haiwwzekani idea ambayo haijawa approved na tanesco eti dogo kawanunulia umeme xxl sasa kaingiaje kwenye system ya tanesco kama hawajamu approve? Na je ame link vipi systems mbili za mpesa na tanesco bila approval ya kampuni hizo mbili.

Kwaiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo ame hack live systems mbili za mpesa na tanesco akawanunulia umeme xxl?

Lakini pia iyo system haitaweza kufanya kazi bila kubadilisha mashine za luku zilizopo ili malipo ya moja kwa moja yafanyike kwenye system directly. Kwa sababu hizi luku zetu hadi ziruhusu umeme kwenye nyumba ni lazima itambue inputs za digits unazozijaza then i confirm na system ndo ifungue umeme. Kwaiyo kubadilisha mfumo wa luku wa sasa ni investment ya trillions za shillingi siyo swala la idea tu hizo systems zipo hata nigeria zinatumika ni swala la investments zaidi na siyo ki idea cha mtoto wa chuo. Zipo kampuni za vifaa vya umeme zina vifaa vyenye miundombino ya namna hiyo zinatumika nchi nyingi ulaya na japan etc.
Mkuu

Upo sahihi sana..huyo dogo naona kama kachanganyikiwa anajenga vitu ambavyo vipo..

Na ku-upgrade meter za Tanesco ni hasara kwako big time!
 
“Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.”

Huu ni uongo mtupu.[emoji1318]haiwwzekani idea ambayo haijawa approved na tanesco eti dogo kawanunulia umeme xxl sasa kaingiaje kwenye system ya tanesco kama hawajamu approve? Na je ame link vipi systems mbili za mpesa na tanesco bila approval ya kampuni hizo mbili.

Kwaiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo ame hack live systems mbili za mpesa na tanesco akawanunulia umeme xxl?

Lakini pia iyo system haitaweza kufanya kazi bila kubadilisha mashine za luku zilizopo ili malipo ya moja kwa moja yafanyike kwenye system directly. Kwa sababu hizi luku zetu hadi ziruhusu umeme kwenye nyumba ni lazima itambue inputs za digits unazozijaza then i confirm na system ndo ifungue umeme. Kwaiyo kubadilisha mfumo wa luku wa sasa ni investment ya trillions za shillingi siyo swala la idea tu hizo systems zipo hata nigeria zinatumika ni swala la investments zaidi na siyo ki idea cha mtoto wa chuo. Zipo kampuni za vifaa vya umeme zina vifaa vyenye miundombino ya namna hiyo zinatumika nchi nyingi ulaya na japan etc.
Kwa maelezo yake anasema kuna kitu anaweka kwenye meter. Mimi nilikuwa nasikiliza so sijui inafanyaje kazi. Kaulizwa inafanyaje kazi akasema akisema basi mtu yoyote ataweza kufanya ivyo.
SIku hizi makampuni hayanunui idea wananunua kitu ambacho kinafanya kazi ii niliexperience tigo na nikaambiwa na Kelvin Twisa hii idea ya Mpesa master card sisi tulikuwa nayo mwaka 2012 tukaipeleka tigo wakazingua voda wakazingua nikamtafuta Kelvin Twisa akasema kama ninataka hii kitu kiwork nikibadili kuwa demo walau hapo ndipo ataweza nisaidia na hapo ndipo ukawa mwisho wa safari ywtu mimi na wenzangu maana tulishindwa afford gharama za kuajiri coders.
 
Twende taratibu...

Ukinunua umeme kwa simu unaenda moja kwa moja wapi?

Maana tusije ongea tu kama tumepigwa ufunguo...

Umeme kwenda moja kwa moja kwenye meter za Tanesco as we speak ni ngumu,inatakiwa tanesco wa upgrade hardware zao,which ni hasara kwao..

Pia kununua umeme kwenye simu tayari mitandao ya simu inafanya kukiwa na internet na bila internet

Sasa sijui nyie mnaongelea mataputapu gani hasa?

Huyo dogo yaelekea yupo overwhelmed ni kutokujua,alichokijua yeye kumbe tayari ndio kinafanya kazi now kwa mitandao yooote!

Let me hear some diarrhea hapa!
Kasema kuna kifaa anakiweka kwenye hizi hizi mita za tanesco iwe ndani au nje anajua yeye. Mechanism ndiyo kagoma kuelezea kasema akieleza kila mtu ataweza. Na kasema it all started baada ya rafiki yake kununua umeme halafu namba moja ikawa haisomeki kwenye karatasi baada ya kukaa na karatasi kwa muda mrefu. Actually wako sita jumla
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Nyie hamuwajui Tanesco, hawajamaa unaomba wakuwekee umeme nyumbani pako wao watakuja na nguzo na kuibwaga uwanjani pako na itakaa mwaka mzima! Unapiga kwata nenda rudi nenda rudi ofisini kwao. Mita yako ya Luku inatatizo unatoa taarifa basi umewaudhi hawaji ng'o labda umchinje twiga, miezi sita haununui Luku nao hawajali. Waya au nguzo imeanguka wajulishe wanajionea usumbufu hawaji labda mwewe wa Clouds awaone mara nne ndiyo watakuja tena usiku ili msiwaone maana mganga wao aliwaambia wasifanye matengenezo mchana. Mimi nilichoka pale nilipomsikia mfanyakazi wa Tanesco akisema eti tatizo linaloripotiwa na mteja linatakiwa lishughulikiwe ndani ya siku tisini! Kwa ujumla ni shirika lenye bahati sana kwani wanaruhusiwa kufanya kazi kwani hiari! Ndiyo maana pamoja na malalamiko yote hakuna hata siku moja wametumbuliwa.
Long Live Tanesco, Long Live Twiga. Hongereni kwa madaha yenu.
 
Nyie hamuwajui Tanesco, hawajamaa unaomba wakuwekee umeme nyumbani pako wao watakuja na nguzo na kuibwaga uwanjani pako na itakaa mwaka mzima! Unapiga kwata nenda rudi nenda rudi ofisini kwao. Mita yako ya Luku inatatizo unatoa taarifa basi umewaudhi hawaji ng'o labda umchinje twiga, miezi sita haununui Luku nao hawajali. Waya au nguzo imeanguka wajulishe wananionea usumbufu hawaji labda mwewe awaone mara nne ndiyo watakuja tena usiku ili msiwaone maana mganga wao aliwaambia msifanye matengenezo mchana. Mimi nilichoka pale nilipomsikia mfanyakazi wa Tanesco akisema eti tatizo linaloripotiwa na mteja linatakiwa lishughulikiwe ndani ya siku tisini! Kwa ujumla ni shirika lenye bahati sana kwani wanaruhusiwa kufanya kazi kwani hiari! Ndiyo maana pamoja na malalamiko yote hakuna hata siku moja wametumbuliwa.
Long Live Tanesco, Long Live Twiga. Hongereni kwa madaha yenu.
Urasimu kila kona
 
Kasema kuna kifaa anakiweka kwenye hizi hizi mita za tanesco iwe ndani au nje anajua yeye. Mechanism ndiyo kagoma kuelezea kasema akieleza kila mtu ataweza. Na kasema it all started baada ya rafiki yake kununua umeme halafu namba moja ikawa haisomeki kwenye karatasi baada ya kukaa na karatasi kwa muda mrefu. Actually wako sita jumla
Kuna uongo hapo tayari...

Japo sipo Bongo for now ila uongo wake kwa ulichokisema hapo ni kama ifuatavyo:

1.Umeme kukaa kwa muda mrefu tayari ni uongo maana tokens za Tanesco maximum ni 30-days,baada ya hapo zina expire zinakua na status ya "old".
2.Kifaa cha kuweka kwenye mita iweze kupokea Token automatically ni uongo wa mchana peupe maana ni lazima uweke GSM module kwa ajili ya connectivity,then u-upgrade firmware ya meter husika iweze kutambua hiyo module ambapo hiyo firmware hana maana inatoka kiwandani kilichojenga hiyo mita ikiwa na password etc..hapo tayari ni uongo mweupe.
3.Ukinunua umeme unapewa token yenye tarakimu 20,ukipoteza digit moja tu hiyo token ni ya kutupa maana ni probability ya ma-trilioni ya trials ili kuipata,which ni uongo wa mchana kuipata.

Hawa madogo wanajua Watz hawana akili,wakiambiwa token "direct" watachanganyikiwa na watapata umaarufu...wanachotafuta hapo ni "umaarufu" wa siku moja...

Ongeza maelezo mengine nione uongo uliopo ndani!
 
Mimi hayo sijui itafahamika tu maana VETA na Huko Nishati na madini ashafika washaanza kudeal naye.
Hizo ni technical issues ambazo mimi kama layman siwezi zielewa we subiri tu utajua
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Haw Tanesco Meko akiwatumbua watalia liw kuomb msamaha
 
Mimi hayo sijui itafahamika tu maana VETA na Huko Nishati na madini ashafika washaanza kudeal naye.
Hizo ni technical issues ambazo mimi kama layman siwezi zielewa we subiri tu utajua
Haya bana,tuone....

Huenda kafanya kitu,lakini I doubt....
 
Kawanunulia xxl pale pale umeme ukaingia? Kwa miundo mbinu hii hii ya Tanesco ampetaje acces ya kununua umeme na kuingia direct bila kuweka tokens?!
 
Haw Tanesco Meko akiwatumbua watalia liw kuomb msamaha
Haya,tuseme umetumbua wote wafanyakazi 5,000..then uajiri nani kwa mfano?

Its very funny,shirika kazi yake ni kuuza umeme na sio kuendeleza vipaji vya yeyote,then wewe unakuja kutumbua watu kwa kazi isiyowahusu?

Hii dunia inaenda kasi sana!
 
Kawanunulia xxl pale pale umeme ukaingia? Kwa miundo mbinu hii hii ya Tanesco ampetaje acces ya kununua umeme na kuingia direct bila kuweka tokens?!
Mkuu

Kuna uongo mwingi somewhere...

Uzuri ni huyo bwana aje humu aulizwe maswali ajibu yeye kama yeye

Hapa tunasikia kwa third parties!
 
Na hapo ndipo the magic ilipo yani hapo ndipo thamani ya wazo lake ilipo japo kasema kuna kitu kinafungwa kwenye mita
 
Mkuu

Kuna uongo mwingi somewhere...

Uzuri ni huyo bwana aje humu aulizwe maswali ajibu yeye kama yeye

Hapa tunasikia kwa third parties!
Kumbuka yeye hajajipeleka clouds wao wamemskia huko huko VETA. How inavyo work hakuwa tayari kusema maana kasema ndicho kitu muhimu akisema basi hata mtu mwingine anaweza tengeneza
 
Back
Top Bottom