New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Serikali imsaidie apate hatimiliki upesi kabla wezi wa teknologia wa kimataifa hasajatoroka nayo
 
Mtu kaenda Veta kaenda Nishati na madini huko, veta washaanza kumsaidia kumkutanisha na uongozi wa TANESCO kwahiyo nao hawajui?
ANgesema Mchina huenda kusingekuwa na mabishano ya hivi hapa. We tulia tu utajua kinafanyaje kazi maana ana uelekeo wa kufanikiwa ashafika mikono salama baada ya watu wa chini wa tanescokumzungusha kwa muda mrefu
Haya mkuu unadhani Veta ndio watamsaidia kununua izi hardware na kuziweka kwenye meter zote za tanesco nani ana finance hio inshu? Je umeshafanya assessment na kujilizisha kuwa huo mfumo utakuwa economic kuliko huu tulio nao? Mana sisi katika Technology cha kwanza ni Safety na cha pili Economic view point sasa kama binadamu tu mwenye kichwa cha kufikiri fanya izo assessment haswa upande wa economic view
Sisi hatuko emotional driven
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.

TANESCO njoo huu uzi unawahusu!
Kuna tuhuma zenu za kujibu, ni kwa nini mlimpiga huyo dogo danadana..!?
 
Mbona hili wazo watu wamekuwa wakilileta huku miaka nenda miaka rudi, ila Tanesco wameweka pamba masikioni, kuna watu wanapata tabu kuoanda na ngazi eti kuingiza luku, wengine kile kimashine unakuta betri zimeisha chaji na umeme hamna, hadi ukaombe kwa jirani, mambo ya ajabu kabisa, mbona ving’amuzi tunanunua na Decoder inajifungua automatically?!
tatzo urasimu mwingi mno mpaka inakera asee hii nchi ina vipaji kuanzia vya soka mpaka ugunduzi
 
Haya mkuu unadhani Veta ndio watamsaidia kununua izi hardware na kuziweka kwenye meter zote za tanesco nani ana finance hio inshu? Je umeshafanya assessment na kujilizisha kuwa huo mfumo utakuwa economic kuliko huu tulio nao? Mana sisi katika Technology cha kwanza ni Safety na cha pili Economic view point sasa kama binadamu tu mwenye kichwa cha kufikiri fanya izo assessment haswa upande wa economic view
Sisi hatuko emotional driven
Mbona wabongo tunakatishana tamaa, ngoja nikukumbushe unakumbuka tulianza na mita za kuja kusomwa kama maji kila mwisho wa mwezi, ikabadirika wakaanza zibadirisha wakaweka za luku taratibu, kwa hiyo ni mfumo kila kitu kinakuwa upgraded taratibu.
Angekuwa kasema mchina najua usingesema haya yote
 
Nyie hamuwajui Tanesco, hawajamaa unaomba wakuwekee umeme nyumbani pako wao watakuja na nguzo na kuibwaga uwanjani pako na itakaa mwaka mzima! Unapiga kwata nenda rudi nenda rudi ofisini kwao. Mita yako ya Luku inatatizo unatoa taarifa basi umewaudhi hawaji ng'o labda umchinje twiga, miezi sita haununui Luku nao hawajali. Waya au nguzo imeanguka wajulishe wanajionea usumbufu hawaji labda mwewe wa Clouds awaone mara nne ndiyo watakuja tena usiku ili msiwaone maana mganga wao aliwaambia wasifanye matengenezo mchana. Mimi nilichoka pale nilipomsikia mfanyakazi wa Tanesco akisema eti tatizo linaloripotiwa na mteja linatakiwa lishughulikiwe ndani ya siku tisini! Kwa ujumla ni shirika lenye bahati sana kwani wanaruhusiwa kufanya kazi kwani hiari! Ndiyo maana pamoja na malalamiko yote hakuna hata siku moja wametumbuliwa.
Long Live Tanesco, Long Live Twiga. Hongereni kwa madaha yenu.
TANESCO somen hapa mjirekebishe
 
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Auze nje idea yake apige pesa anangoja nn sasa
 
Ninahisi angepata mtu wa kumwonyesha njia angefanya hivyo akawauzia wahindi maana ndiyo wanatengeza mita zetu nyingi halafu wao wangerudi kuwauzia tanesco kwa bei ambayo ni mara 500 zaidi
 
Hayo si yataboreshwa, facebook yenyewe hakuanza kamailivyo imeboreshwa zaidi kwa miaka mingi watu walishahack hadi account ya CEO huko nyuma.
Maxicom africa angeweka wazo lake hapa leo si ajabu ungeuliza swali hili hili.
Umenielewa? Unatakiwa kuelewa kwanza anachodai ''amevumbua'' ndiyo uje na lawama! Kuna ''uvumbuzi'' mwingine ni nightmare za wanaodai kuvumbua na in reality kunakuwa hakuna uvumbuzi wowote. Kwa nini mnakimbilia kulaani na kulaumu jambo ambalo hata hulijui!
 
Mbona hili wazo watu wamekuwa wakilileta huku miaka nenda miaka rudi, ila Tanesco wameweka pamba masikioni, kuna watu wanapata tabu kuoanda na ngazi eti kuingiza luku, wengine kile kimashine unakuta betri zimeisha chaji na umeme hamna, hadi ukaombe kwa jirani, mambo ya ajabu kabisa, mbona ving’amuzi tunanunua na Decoder inajifungua automatically?!
Wako nyuma waongee na kampuni za simu wawape system,pia ilitakiwa kununua luku Kama vocha vile kuna vifurushi vya luku directly inaingia
 
Mtu kaenda Veta kaenda Nishati na madini huko, veta washaanza kumsaidia kumkutanisha na uongozi wa TANESCO kwahiyo nao hawajui?
ANgesema Mchina huenda kusingekuwa na mabishano ya hivi hapa. We tulia tu utajua kinafanyaje kazi maana ana uelekeo wa kufanikiwa ashafika mikono salama baada ya watu wa chini wa tanescokumzungusha kwa muda mrefu

haifiki popote iyo mkuu , na huo ndio ukweli

kwanza kabisa rejea maelezo ya Wyatt hapo juu

wizara ya nishati isha invest maela mingi sana kwenye mita , hawatokua tayari ku afford kuzibadili/ku modify

ilo wazo la dogo si geni, na icho kidude ni GSM si kigeni, yalishakuja nyuma kitambo (mimi mmoja wapo 😀 ) yakaishia hewani

kuna kiwanda cha kutengeneza izo smart meter za umeme ( ya idea ya kama uyo dogo ) , kipo Kibaha mpaka Dk. Kalemani alikitembelea lakini mpaka leo sikisikii tena, aliwasisitzia wapunguze bei per piece

Halafu izi mita ambazo Tanesco wanazo, zinatoka China, kampuni ya Clou na Wasion, ukiingia web zao utaona izo smart meter zipo, zinatumia GSM ( ie: unajaza token kwa simu moja kwa moja ) , utazikuta mpaka zile za kuchomeka kujaza umeme (PLC) na za rimoti ( ile dizaini mita inakaa kwenye mstimu alaf unajaza umeme kwa wireless remote , RF )

sasa jiulize Tanesco hawakuziona izo za smart ( GSM ) mpaka waziache wafate izo nyengine ?
 
Rangi nyeusi tatizo sana sisi, weupe wote hawatupendi sio kwanini.... ni kwa sababu hatuna future, hatuaminiki, khusda na chuki ndio mambo tunayoyaamini....... whites wanatuona nuksi sana sisi.
Bosi anakufanyia ngumu ufukuzwe kazi kwa kosa linalozungumzika na huo mshahara hatoupata yeye! Na siku akikukuta nje ya ajira umetusua anainamia chini au anajichekesha kuwa nilijua tu kuwa utatusua.
 
Dogo niliiona hiyo idea yake Twitter na yeye. Alikuwa anafukuzia ile ml 1 ya Mo..

Baada ya kupost hiyo idea watu wengi sana wali appreciate alichokifanya

Mungu ambariki
 
haifiki popote iyo mkuu , na huo ndio ukweli

kwanza kabisa rejea maelezo ya Wyatt hapo juu

wizara ya nishati isha invest maela mingi sana kwenye mita , hawatokua tayari ku afford kuzibadili/ku modify

ilo wazo la dogo si geni, na icho kidude ni GSM si kigeni, yalishakuja nyuma kitambo (mimi mmoja wapo 😀 ) yakaishia hewani

kuna kiwanda cha kutengeneza izo smart meter za umeme ( ya idea ya kama uyo dogo ) , kipo Kibaha mpaka Dk. Kalemani alikitembelea lakini mpaka leo sikisikii tena, aliwasisitzia wapunguze bei per piece

Halafu izi mita ambazo Tanesco wanazo, zinatoka China, kampuni ya Clou na Wasion, ukiingia web zao utaona izo smart meter zipo, zinatumia GSM ( ie: unajaza token kwa simu moja kwa moja ) , utazikuta mpaka zile za kuchomeka kujaza umeme (PLC) na za rimoti ( ile dizaini mita inakaa kwenye mstimu alaf unajaza umeme kwa wireless remote , RF )

sasa jiulize Tanesco hawakuziona izo za smart ( GSM ) mpaka waziache wafate zio nyengine ?
Sasa kwanini wanatumia millions of money kununua mita toka india wakati kumbe kuna kwainda kibaha
 
Umenielewa? Unatakiwa kuelewa kwanza anachodai ''amevumbua'' ndiyo uje na lawama! Kuna ''uvumbuzi'' mwingine ni nightmare za wanaodai kuvumbua na in reality kunakuwa hakuna uvumbuzi wowote. Kwa nini mnakimbilia kulaani na kulaumu jambo ambalo hata hulijui!
Basi wangemwambia hakuna uvumbuzi mbona yule wa smart locker alliambiwa kuwa hakuna uvumbuzi
 
Twitter kuna dogo alijitokeza kwenye Tangazo la Mo kuhusu wenye idea nzuri atampa 1M.Huyo dogo akasema ishu kama hiyo na kasema anasoma UDSM sasa sijui kama ni huyo(VETA) au la
 
Back
Top Bottom