Mkuu Umeleza vizuri sana shida la sisi watanzania kila mtu nimjuaji na kulalamika kwanza nikanzie apo swala la dogo kuwanunulia umeme xxl hàpo hapo na ukaingia huo ni uongo na imeonesha jinsi gani mleta mada alivyo layman na hakutaka hata kuumiza kichwa kuwa kivipi dogo apate acces ya system za luku na Payments na kuzilink bila kuwa Granted kua access hio system Pili hizo tech zipo kabisa na inshu hapo sio innovation bali ni capital mana inataka mpunga mrefu kuchange izo system mana ni hardaware based“Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.”
Huu ni uongo mtupu.[emoji1318]haiwwzekani idea ambayo haijawa approved na tanesco eti dogo kawanunulia umeme xxl sasa kaingiaje kwenye system ya tanesco kama hawajamu approve? Na je ame link vipi systems mbili za mpesa na tanesco bila approval ya kampuni hizo mbili.
Kwaiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo ame hack live systems mbili za mpesa na tanesco akawanunulia umeme xxl?
Lakini pia iyo system haitaweza kufanya kazi bila kubadilisha mashine za luku zilizopo ili malipo ya moja kwa moja yafanyike kwenye system directly. Kwa sababu hizi luku zetu hadi ziruhusu umeme kwenye nyumba ni lazima itambue inputs za digits unazozijaza then i confirm na system ndo ifungue umeme. Kwaiyo kubadilisha mfumo wa luku wa sasa ni investment ya trillions za shillingi siyo swala la idea tu hizo systems zipo hata nigeria zinatumika ni swala la investments zaidi na siyo ki idea cha mtoto wa chuo. Zipo kampuni za vifaa vya umeme zina vifaa vyenye miundombino ya namna hiyo zinatumika nchi nyingi ulaya na japan etc.
Good idea ila itakata ulaaji wa wanaouza vidude vya kuingizia LUKU. Kama Star times unanunua kwenye simu inaingia moja kwa moja kwanini Tanesco wanataka kutuangaisha na tarakimu zao 20?Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.
Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.
Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.
Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Anaweka kitu kwenye meter? Kwa taarifa yako hizi prepaid meter LUKU kwanza ni Property ya tanesco hata iwe imefungwa kwako still ni mali ya tanesco ndio mana ziko sealed na Mteja ana acces ya keypad tu na Screen ile basi sehemù nyingine hawezi kufungua hata kidogo kuna seal zimewekwa ukijaribu kufanya ivo Automatically meter ina temper yani umeme unakata na itabidi uende ofisi uka adress inshu yako na fundi aje kukagua meter ndio upewe iźo clear temperKwa maelezo yake anasema kuna kitu anaweka kwenye meter. Mimi nilikuwa nasikiliza so sijui inafanyaje kazi. Kaulizwa inafanyaje kazi akasema akisema basi mtu yoyote ataweza kufanya ivyo.
SIku hizi makampuni hayanunui idea wananunua kitu ambacho kinafanya kazi ii niliexperience tigo na nikaambiwa na Kelvin Twisa hii idea ya Mpesa master card sisi tulikuwa nayo mwaka 2012 tukaipeleka tigo wakazingua voda wakazingua nikamtafuta Kelvin Twisa akasema kama ninataka hii kitu kiwork nikibadili kuwa demo walau hapo ndipo ataweza nisaidia na hapo ndipo ukawa mwisho wa safari ywtu mimi na wenzangu maana tulishindwa afford gharama za kuajiri coders.
Uitaka vitu vifanye kazi kama wewe unavyofikiria basi hapo hakuna uvumbuzi. Kasema kuna kufaa anakiattach au anakifunga kwenye luku.Mkuu Umeleza vizuri sana shida la sisi watanzania kila mtu nimjuaji na kulalamika kwanza nikanzie apo swala la dogo kuwanunulia umeme xxl hàpo hapo na ukaingia huo ni uongo na imeonesha jinsi gani mleta mada alivyo layman na hakutaka hata kuumiza kichwa kuwa kivipi dogo apate acces ya system za luku na Payments na kuzilink bila kuwa Granted kua access hio system Pili hizo tech zipo kabisa na inshu hapo sio innovation bali ni capital mana inataka mpunga mrefu kuchange izo system mana ni hardaware based
Tatu nimeona mtu sijui Iringa anadai kabuni na anazalisha umeme na kusambaza just bila Mamlaka Kama tanesco kufanya testing na approave ya huo umeme watu hawaoni hatari kabisa kuvutiwa umeme ambao hao regulated or controlled na shirika na Media zina praise kesho na kesho kutwa watu wakaunguza nyumba zao au wakapata madhara ya huo umeme wa kihorela bado lawama zitarudi kwaa serikali
Hili nalijua na ndiyo maana zina seal. Sasa mnabishana na mimi au mkambishie aliyetengeneza na waliomhoji maana mimi nimesikia kwenye rediio kilichokuwa kinaendelea hata sijaona ila kaniimpress maana watu wengi wangependa wakinunua luku iingie moja kwa mojja haya mambo umeme umeisha unahangaika hasa na kile kiremote uende kwa jirani au uweke betry ni ya kiboyaAnaweka kitu kwenye meter? Kwa taarifa yako hizi prepaid meter LUKU kwanza ni Property ya tanesco hata iwe imefungwa kwako still ni mali ya tanesco ndio mana ziko sealed na Mteja ana acces ya keypad tu na Screen ile basi sehemù nyingine hawezi kufungua hata kidogo kuna seal zimewekwa ukijaribu kufanya ivo Automatically meter ina temper yani umeme unakata na itabidi uende ofisi uka adress inshu yako na fundi aje kukagua meter ndio upewe iźo clear temper
We jamaa uko too emotionally halafu ni layman wa haya maswala izo system tayari ziko sokoni hatuja adopt bado kwa sababu ya vitu vingi miongoni ni kuwa ili meter iweze ku operate the way unataka lazima ufanye changes za hardware kitu ambacho ni gharama sasa ukisema huyo dogo sijui ana attach huelewi hata, Meter za Three phase ndio inaweza kuwa simple kufanya izo operation mana kwa sasa zinawekewa modem na chip iUitaka vitu vifanye kazi kama wewe unavyofikiria basi hapo hakuna uvumbuzi. Kasema kuna kufaa anakiattach au anakifunga kwenye luku.
Sasa kutakuwa kuna uvumbuzi gani ikiwa vitu vinafanya kazi the way ambavyo kila mtu anajua?
Hivi unajua steve jobs alipoletewa idea ya kutengeneza simu ambayo ni full touch aliikataa kwakuwa aliamini ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa?
Yah mimi ni layman haya ndo mkadaptWe jamaa uko too emotionally halafu ni layman wa haya maswala izo system tayari ziko sokoni hatuja adopt bado kwa sababu ya vitu vingi miongoni ni kuwa ili meter iweze ku operate the way unataka lazima ufanye changes za hardware kitu ambacho ni gharama sasa ukisema huyo dogo sijui ana attach huelewi hata, Meter za Three phase ndio inaweza kuwa simple kufanya izo operation mana kwa sasa zinawekewa modem na chip i
tatzo wanasiasa wa tz ni wazalendo wa majukwaani lakin mioyon mwao hakuna ktu. hii nchi ina vipaji vya ugunduzi vingii sana lakn no body take care kwa sabab mtt sio wake. hyo technolojia angeleta mzungu ungeona mamlaka zinavyoishobokea.Watu wanakatishana tamaa, kuna kipindi kilikuwa ETV walikuwa wanaonyesha wafumbuzi huko mkoani watu wanafanya mambo lakini hakuna taasisi hata moja ya serikali inawekeza, niliona mzee katengeneza trekta zuri yani katumia engine ya pikipiki linalima, linapukuchua mahindi linazalishha umeme akawa anaomba serikali imsaidie waungane na veta na wataalam wengine wayazalishhe mengi akasema coast haifiki hata milion nane.
Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.Kumbuka yeye hajajipeleka clouds wao wamemskia huko huko VETA. How inavyo work hakuwa tayari kusema maana kasema ndicho kitu muhimu akisema basi hata mtu mwingine anaweza tengeneza
Ndio ukubali sasa hata hao waliokuwa wanamhoji nao hawakufanya utafiti hawakuchosha akili zao walikuwa excited tu kama wewe na wakawa emotionally driven sasa sisi wataalamu ndio tunakuambia iyo tech tayari iko sokoni na dogo kama anaona tech hio ni mpya basi aende mamlaka husika aka patent awe na hati miliki sisi tunakuambia hio tech now haiwezi kuwa implemented kwa uharaka kwa vile ni hardware based ila slowly tuta adopt tu, hata wakati tunatoka kwenye conversion meters post paid kwenda kwenye luku prepaid ime take muda ku replace meter zote za post paid na bila shaka nchi nzima now ni pre paid kasoro watumiaji wakubwa ambao wao ni post paid.Hili nalijua na ndiyo maana zina seal. Sasa mnabishana na mimi au mkambishie aliyetengeneza na waliomhoji maana mimi nimesikia kwenye rediio kilichokuwa kinaendelea hata sijaona ila kaniimpress maana watu wengi wangependa wakinunua luku iingie moja kwa mojja haya mambo umeme umeisha unahangaika hasa na kile kiremote uende kwa jirani au uweke betry ni ya kiboya
Ye kasema inatengemea na aina ya mita anaweza kia ttach aau akakifunga ndani.Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.
Kwahiyo kama amefungua zile seal wamuache? Hujui ni kesho kufanya ivo?Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.
nashaur hata huyu dogo afanye hvo. akauze idea yake nje ili tuendelee kuabudu cha mzungu. mana viongozi wa bongo nyoso sana. mi nashangaaga sana kazi yao n kusifu na kuabudu ili waendelee kuota vitambi WTF[emoji51][emoji52][emoji58]Huo uvumbuzi wake lazima ale ela ya maana na anaweza kuuza hata india ambako hizi mita zetu zinatoka waiimpliment. Kama wa meter ya gas miezi miwili iliyopita kauza ugunduzi wake uingereza kala bils 50 za kibongo na bado ana asilimia kadhaa kwenye uvumbuzi wake why not huyu. Na kumbuka ni mbogo aliona hapa wanazingua akaipeleka Uingereza.
Mtu kaenda Veta kaenda Nishati na madini huko, veta washaanza kumsaidia kumkutanisha na uongozi wa TANESCO kwahiyo nao hawajui?Ndio ukubali sasa hata hao waliokuwa wanamhoji nao hawakufanya utafiti hawakuchosha akili zao walikuwa excited tu kama wewe na wakawa emotionally driven sasa sisi wataalamu ndio tunakuambia iyo tech tayari iko sokoni na dogo kama anaona tech hio ni mpya basi aende mamlaka husika aka patent awe na hati miliki sisi tunakuambia hio tech now haiwezi kuwa implemented kwa uharaka kwa vile ni hardware based ila slowly tuta adopt tu, hata wakati tunatoka kwenye conversion meters post paid kwenda kwenye luku prepaid ime take muda ku replace meter zote za post paid na bila shaka nchi nzima now ni pre paid kasoro watumiaji wakubwa ambao wao ni post paid.
idea nzuri ila dah bongo watamzingua tuHuyo anatakiwa aingie mkataba kika umeme utakaonunuliwa kwa mfumonwake apate sh 1.
Ukitaka kujua wabongo hawapendi mafanikio soma comments za watu wanashabikia kufail zaidi kuliko kufanikiwanashaur hata huyu dogo afanye hvo. akauze idea yake nje ili tuendelee kuabudu cha mzungu. mana viongozi wa bongo nyoso sana. mi nashangaaga sana kazi yao n kusifu na kuabudu ili waendelee kuota vitambi WTF[emoji51][emoji52][emoji58]