Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
weka list hapa kama your communication regulatory authority haitambui who r u to yap? Azam media is in Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi no Zimbabwe. Tell me one Kenyan media house that beats that coverage!Ndio maana nimewaacha tu wachape pumba zao. Eti Kenya ina sita. 😀 Alafu wapo very proud, Tanzania tuna 26! 😀 Unasema universities, kuna mashirika mengi sana, na parastatal kadhaa na wizara hapa Kenya kama ile ya Youth, Sports and Culture, ambazo zina Tv station zao! Aisee hadi na kanisa za walokole karibia zote. Tv za kisomali tu ni karibia ishirini. 😀 Orodha ya kweli wakiiona si watazimia? Yaani hata Bunge Live na Senate pia ni Tv stations kivyao with 24/7 coverage.