Haya yote tuliwaambia but mlitutukana humu au mmesahahu?ndio ujue wewe ni maembe mkubwa mabasi yamebaniwa kwa sababu ya design, sio quality...it has nothing to do with quality...mfano stairs hazikuwa ziwekwe, mlango ulifaa uwee pana zaidi na nakadhalika...In simple terms, the buses are okay as they can still be used for other routes. However, the design does not match the specifications that were required for the NRB Bus Rapid Transit project...
Leo umeumbuka sasa [emoji38][emoji38]hahaha ndugu badounlia lia sababu ya lile neno "shallow"ππ...
Wakenya bhana.. Eti inaweza tumika wapi?and may I ask why they've been banned according to you?...hizo basi zinaweza fanya kazi hata New York...hivyo hakuna shida ya quality hapo...ni design tu ndio haikumatch specifications...plus it is very easy for Isuzu EA to change the design to match City Hall's specifications..basi zilitengenezwa mbili au tatu tu...hivyo sioni shida yoyote hapo...na hizi watauza uganda au kwingine..subiri tu uone
View attachment 903215
umbuka ndo mnyama yupi sasaππLeo umeumbuka sasa [emoji38][emoji38]
mbona isitumike?Wakenya bhana.. Eti inaweza tumika wapi?
ulitwambia kuhusu nini?Haya yotebtuliwaambia but mlitutukana humu au mmesahahu?
Haha kisw kipana sana,maana yake umeaibika, umejitahidi sana kuziba nyufa lakini ukuta umeangukaumbuka ndo mnyama yupi sasaππ
Design kuwa mbaya including hzo ngazi..ulitwambia kuhusu nini?
SMH..Why doesent the US president travel in a lamboghini or a ferrari despite those cars being over $1m? Because its low quality -It has only 2 seats, as far as presidential transport is concerned, a ferrari is a pathetic quality car.See...you are just making my point for me....they have been banned becoz of design...not quality...au unataka kusema hizo basi haziwezi kubaliwa kwa barabara uganda au rwanda zikuzwa kule?ππππ
unakumbuka ule Uzi?You don't have to insult people to feel superior. Man up
jesus christ? sijui low quality wewe kwa akili yako hiyo maembe ina maana gani...anyway, I rest my case sabab we ni mjinga sana...konyagi ni kama sijui umekunywa sana wewe kima wa manzese...fool see, the reason why presidents dont travel in lambos and ferraris is because these cars are designed for speed, not comfort....It is not because it is of low quality...lambos are of very high quality you slow brained nincompoopSMH..Why doesent the US president travel in a lamboghini or a ferrari despite those cars being over $1m? Because its low quality -It has only 2 seats, as far as presidential transport is concerned, a ferrari is a pathetic quality car.
Now take that logic and apply to BRT. Even with spoonfeeding you are too slow and pathetic
Ndio, sisi tuna assemble mabasi, malori na hata magari madogo. Bado hatujafika pahali pa kuunda gari kwanzia mwanzo hadi mwisho, lazima tuimport malighafi. Hata hivyo sijui mbona unacheka na ninyi hamna hata kiwanda cha kuunganisha magari?Hahahaha Tony254 ukuje huku hahaha, tuliwaambia nyie mna import components na ku assemble the you claim you have created buses, kenya nye wahuni sana hahahah
Nikome!!unakumbuka ule Uzi?
haya mbona mmeumbyka sasa?
ni kukome na nini?Nikome!!
mbona design tu watabadilisha virahisi na wazundue tena?...shida ni iwe mabasi yapo of low quality ila that is not the case here...these buses are okay, shida ni hio tu ya design pekee yake na hio wanaweza wakabadilishaDesign kuwa mbaya including hzo ngazi..
ah wapi? ila najua kinachokusumba wewe haswa ni lile neno shallowπ...endelea kulia lia tu...mabasi yapo sawa kabisaHaha kisw kipana sana,maana yake umeaibika, umejitahidi sana kuziba nyufa lakini ukuta umeanguka
true...ndio nimekuwa nikiimba hapa ila kuna jamaa sijui kichwa chake kimejaa uji au maana yeye anaona basi ni of low quality tu...sijui maneno hayo mawili "low quality" anazielewajeKuna watu huwa hawasomi taarifa ya mada au kufatilia chanzo cha habari kwa umakini. Hamna popote waliposema mabasi hayo ni 'low quality' shida ni design tu. Wakirekebisha sawa, wasipokosa wakampuni mengine yapo hapa hapa Kenya.
made in kenya??????? you cant be serious since when Kenya makes car partswhy do you still imports vehicle parts and vehicles made in kenya if they are substandard?