New BRT buses Banned by Nairobi County for being Low Quality ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

New BRT buses Banned by Nairobi County for being Low Quality ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ndio ujue wewe ni maembe mkubwa mabasi yamebaniwa kwa sababu ya design, sio quality...it has nothing to do with quality...mfano stairs hazikuwa ziwekwe, mlango ulifaa uwee pana zaidi na nakadhalika...In simple terms, the buses are okay as they can still be used for other routes. However, the design does not match the specifications that were required for the NRB Bus Rapid Transit project...
Haya yote tuliwaambia but mlitutukana humu au mmesahahu?
 
and may I ask why they've been banned according to you?...hizo basi zinaweza fanya kazi hata New York...hivyo hakuna shida ya quality hapo...ni design tu ndio haikumatch specifications...plus it is very easy for Isuzu EA to change the design to match City Hall's specifications..basi zilitengenezwa mbili au tatu tu...hivyo sioni shida yoyote hapo...na hizi watauza uganda au kwingine..subiri tu uone
View attachment 903215
Wakenya bhana.. Eti inaweza tumika wapi?
 
See...you are just making my point for me....they have been banned becoz of design...not quality...au unataka kusema hizo basi haziwezi kubaliwa kwa barabara uganda au rwanda zikuzwa kule?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
SMH..Why doesent the US president travel in a lamboghini or a ferrari despite those cars being over $1m? Because its low quality -It has only 2 seats, as far as presidential transport is concerned, a ferrari is a pathetic quality car.
Now take that logic and apply to BRT. Even with spoonfeeding you are too slow and pathetic
 
SMH..Why doesent the US president travel in a lamboghini or a ferrari despite those cars being over $1m? Because its low quality -It has only 2 seats, as far as presidential transport is concerned, a ferrari is a pathetic quality car.
Now take that logic and apply to BRT. Even with spoonfeeding you are too slow and pathetic
jesus christ? sijui low quality wewe kwa akili yako hiyo maembe ina maana gani...anyway, I rest my case sabab we ni mjinga sana...konyagi ni kama sijui umekunywa sana wewe kima wa manzese...fool see, the reason why presidents dont travel in lambos and ferraris is because these cars are designed for speed, not comfort....It is not because it is of low quality...lambos are of very high quality you slow brained nincompoop
 
Hahahaha Tony254 ukuje huku hahaha, tuliwaambia nyie mna import components na ku assemble the you claim you have created buses, kenya nye wahuni sana hahahah
Ndio, sisi tuna assemble mabasi, malori na hata magari madogo. Bado hatujafika pahali pa kuunda gari kwanzia mwanzo hadi mwisho, lazima tuimport malighafi. Hata hivyo sijui mbona unacheka na ninyi hamna hata kiwanda cha kuunganisha magari?
 
Design kuwa mbaya including hzo ngazi..
mbona design tu watabadilisha virahisi na wazundue tena?...shida ni iwe mabasi yapo of low quality ila that is not the case here...these buses are okay, shida ni hio tu ya design pekee yake na hio wanaweza wakabadilisha
 
Haha kisw kipana sana,maana yake umeaibika, umejitahidi sana kuziba nyufa lakini ukuta umeanguka
ah wapi? ila najua kinachokusumba wewe haswa ni lile neno shallow๐Ÿ˜€...endelea kulia lia tu...mabasi yapo sawa kabisa
 
Kuna watu huwa hawasomi taarifa ya mada au kufatilia chanzo cha habari kwa umakini. Hamna popote waliposema mabasi hayo ni 'low quality' shida ni design yao ni tofauti na vigezo vilivoekwa na County ya Nairobi. Wakirekebisha sawa, wasiporekebisha kuna kampuni zingine nyingi hapa hapa Kenya ambazo zitachangamkia fursa yenyewe.
 
Kuna watu huwa hawasomi taarifa ya mada au kufatilia chanzo cha habari kwa umakini. Hamna popote waliposema mabasi hayo ni 'low quality' shida ni design tu. Wakirekebisha sawa, wasipokosa wakampuni mengine yapo hapa hapa Kenya.
true...ndio nimekuwa nikiimba hapa ila kuna jamaa sijui kichwa chake kimejaa uji au maana yeye anaona basi ni of low quality tu...sijui maneno hayo mawili "low quality" anazielewaje
 
Hawa majirani Kwa kukurupuka, kama mnaona haya kuigiza kazi nzuri ya BRT Dart ya Dar es Salaam basi igizeni hii ya Accra Ghana ili kuwa na usafiri wa mwendokasi wa umma ulio salama kwa wote kama wa Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom