New BRT buses Banned by Nairobi County for being Low Quality πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

true...ndio nimekuwa nikiimba hapa ila kuna jamaa sijui kichwa chake kimejaa uji au maana yeye anaona basi ni of low quality tu...sijui maneno hayo mawili "low quality" anazielewaje
Wanapandwa na nyege bure, yakizinduliwa mengine hivi karibuni utaona wamekuwa wapooole. Kumbuka hii ni kampuni moja tu. Hao wengine hatujasikia chochote kutoka kwao, na ujue wao pia wanataka wapewe kandarasi yenyewe.
 
Wanapandwa na nyege bure, yakizinduliwa mengine hivi karibuni utaona wamekuwa wapooole. Kumbuka hii ni kampuni moja tu. Hao wengine hatujasikia chochote kutoka kwao, na ujue wao pia wanataka wapewe kandarasi yenyewe.

Kwendeni kwanza mkachongeshe mengine,sisi ndio wakaguzi[emoji23][emoji23][emoji23].

Tunaongea jf viongozi kenya wanafuata,tuliyaponda na wao wameyakataa[emoji2]
 
Kwendeni kwanza mkachongeshe mengine,sisi ndio wakaguzi[emoji23][emoji23][emoji23].Tunaongea jf viongozi kenya wanafuata,tuliyaponda na wao wameyakataa[emoji2]
Hahaha! [emoji1] Kumbe mnajijua? Endeleeni kuponda. Umesoma taarifa ya mada lakini? Kampuni, kadhaa sio moja tu, ambazo zipo hapa hapa Kenya zinapigania kupewa kandarasi yenyewe. Utanitag ukiona mabasi ya BRT 'Made in Tz' hapa Nairobi au hata huko huko Tz.
 

Mlikuwa na haraka sana kuturingishia,tukawatajia dosari kwamba mnajaribu ila bado hamtoshi mboga[emoji16][emoji16][emoji16]

Tz hatutengenezi buses za BRT ila za aina nyingine zinatengenezwa.
 
yaani haya mabasi yangeachwa yaendelee kufanya kazi ningeshangaa sana.
 
A certain young +254 bragged about the 'made in kenya buses' i dont know what he has to say about this.
 
Yaani wanaanza kufeli kabla hawajaanza smh!,bora hata udart japo inapumulia mashine
 
Mlikuwa na haraka sana kuturingishia,tukawatajia dosari kwamba mnajaribu ila bado hamtoshi mboga[emoji16][emoji16][emoji16]

Tz hatutengenezi buses za BRT ila za aina nyingine zinatengenezwa.
Unamaanisha mnatengeneza body za mabasi au mabasi yenyewe(assembly)? Umechanganyikiwa nini? Hata hayo mabody kampuni nyingi za Tz huwa zinaagiza kutoka Kenya. Hivo vitu vilianza kufanywa zamani sana huku Kenya. Nionyeshe ushahidi wa assembly plant yeyote ya kutengeneza magari Tz. Kazi umbea tu.
 

Sasa povu la nini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Haya nitajie kampuni ya kutengeneza magari ya kenya.
 

New York? hahahahaha......
Hiyo design unayosema hapa ni life threatening, na kama kitu ni life threatening ni bad quality. Kwanza Nairobi haiko tayari kwa BRT meaning infrastructure like bus stops and terminal are safe for passengers. Hizo basi hazikutakiwa kuwa na ngazi milamgon ili kuwezesha kila mtu hata mlemavu au mama mjamzito wanaweza kupanda. Vioo madirishani ni low quality maana gari ikipata ajali chakwanza kinachotokea ni abiria kuumizwa na vioo. Milango sio automatic (controled by driver) kuzuia watu kufunguwa wakati gari inakwenda mwendo wa kasi.
 

"Hata hayo mabody kampuni nyingi za Tz huwa zinaagiza kutoka Kenya."

NO NO NO and NO again.
 
Hawakuangalia mchoro/design kabla ya kuanza kuundwa imekuwaje mabasi yametengenezwa hapohapo Kenya alafu yakosolewe baada ya kukamilika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…