NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

Waziri wa utalii pia anahusika na utamaduni? Najua watalii wanakuja kuangalia rasilimali zetu za asili, kama wanyama, milima, maziwa mapango n.k. ila mavazi, tena ya kiutamaduni, sidhani kama ni sehemu ya utalii.
 
Utalii wowote kwisha habari yake
Wazungu washaogopa COVID
Lile nyomi la watalii miaka hiyo ni historia haitojirudia
Sasa kazi tu sio Hapa kazi tu
 
MAMBO YA NDANI NI HUMPHREY POLEPOLE
 
Hapo kwenye wanyonge 🙄🙄🙄
 
hatuhitaji kuona mbwembwe, watanzania wanataka kuona kero zao mbalimbali zinatatuliwa sio mbwembwe, huu sio muda wa show off ni KAZI KAZI
Sidhani kama umenielewa boss. Mimi ninazungumzia utamaduni na sio showing off.

Mimi ninasema waziri ndiye anayepaswa kuwa mfano wa kuigwa katika kuvaa nguo za asili.
 
Waziri wa utalii pia anahusika na utamaduni? Najua watalii wanakuja kuangalia rasilimali zetu za asili, kama wanyama, milima, maziwa mapango n.k. ila mavazi, tena ya kiutamaduni, sidhani kama ni sehemu ya utalii.
Waziri anakuwa ni wa maliasili pamoja na utalii
 
Utalii wowote kwisha habari yake
Wazungu washaogopa COVID
Lile nyomi la watalii miaka hiyo ni historia haitojirudia
Sasa kazi tu sio Hapa kazi tu
Mungu yupo nasi hakika atazidi kuibaraiki nchi yangu ya Tanzania na watalii watazidi kumiminika kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…