NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

Waziri wa michezo avae track suit au jezi za Taifa stars.
 
Ila kwa jinsi Polepole anavyoielewa Ilani ya CCM na Maono ya Rais anaweza pia kuketi Ofisi ya Rais wizara ya Uwekezaji.
 
Ila kwa jinsi Polepole anavyoielewa Ilani ya CCM na Maono ya Rais anaweza pia kuketi Ofisi ya Rais wizara ya Uwekezaji.
Mungu akamsimamie katika harakati zake za kisiasa mkuu
 
Soldier muona mbali
 
Kwa giyo ukitaka avae shati na pensi ya kitenge?

Mavazi ni muktadha ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…