He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
The next PM is hon. Samuel Pitta (MP)
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa
PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha
Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye,
cost implication na sio performance.
list inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.
List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
As the matter of fact, natabiri kwamba these smart young MPs, Kabwe, Mdee, January and Jussa will align themselves and work together despite the party differences. Mnyika won't, because 1) he is not independent, hana swagga 2)kibaraka wa wazee wa Chadema.
Well said dude!JK wish even not to include him on cabinet bcoz he is among seems as threat!And What I know prof bado yuko kwenye mbio za 2015!Huwa naona Prof Mwandosya anampa wizara za ajabu ili ampoteze na safari hii sitashangaa akimwacha kabisa! Tusubiri tuone
Mark James Mwandosya, huyu bwana ni msomi mwelewa, na siyo fisadi.
Mchezo wa Mkapa na JK ndiyo ulioiua TTCL, ndiyo maana unaambiwa hakusaini ule mkataba wa kuuzwa kwa ttcl/celtel, badala yake alisaini katibu mkuu wizara ya mawasiliano.
Connection yake na somebody ISSA kwenye hiyo deal ya CELTEL inaijua? Nenda kasome HANSARD uone jinsi alivyotetea ununuzi wa RADA!! Upelelzi ungeendelea juu ya rushwa ya hii RADA wengi wangetumbukia!!
Well said dude!JK wish even not to include him on cabinet bcoz he is among seems as threat!And What I know prof bado yuko kwenye mbio za 2015!
Why bro? he doesn't qualify or what?
Usafi wake ni wa mashaka. Kwani alitumia pesa za TPDC kujiwekea mazingira ya kupata ubunge bila kupingwa kule kwao na kumuondoa Mwambulukutu. Waliofanya fanya naye kazi CEEST wakikueleza mambo yake hautapenda hata kumkaribia.Ni kweli bwana mtoto wake alivyo-someshwa that time... yeye sio fisadi kwa sababu hayuko kwenye kambi ya JK... double standard.
Kuna watu wameitwa mafisadi bila kuwa na issue yoyote... hii ya Mark it was clear... lakini du! it depend unapendwa au hupendwi... ukipendwa lolote lile sawa.