Wanabodi,.
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
Pasco
Tusimdharau Samia, hakuibuka tuu kama uyoga, ametoka mbali na hakubebwa, amejibeba, sehemu pekee alizobebwa ni mbili,
1. Kuwa VP, hapa alibebwa na JPM,
2. Urais wa JMT, hapa amebebwa na YEYE MWENYEWE AMBAYE NDIE YEYE
Nimeukumbuka uzi huu katika kukumbushana tuu baada ya kuusoma uzi huu
Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu wa Mkuu
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu
Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.
Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.
Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.
Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].
Nashauri tuukubali ukweli wa siasa za Kiafrika, African democracy, mwanamke hata uwe mzuri vipi katika utendaji, ili ukubalike na kuchaguliwa lazima kufanyika kwa some affirmative actions za kiwango fulani, the same applies to Samia, aliupata u VP kwa affirmative action so does Anna Makinda na sasa Dr. Tulia Akson.
The final affirmative action kwa Samia from No. 2 into No.1, imefanywa na Mwenyewe HE WHO HE IS!.
Lakini tukija kwenye our top female politicians, ukimuondoa Prof Ana Tibaijuka ambaye age iliishamtupa mkono, who is any other woman that would have made a better president than Samia?, nitajie...
Kama hakuna, ina maana Samia is the best that we have, unless thingies kwenye notion kuwa Tanzania bado hatuna competent females befitting the post of president of URT.
Tumpe tuu maua yake Samia.
P