New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Kwa Mama umetisha
 

Huyu Jamaa ana uchu wa Madaraka
Nimehudumu kwenye media kwa miaka 30, niliwahi gombea nafasi yoyote ya uongozi hadi useme nina uchu?
kajipendekeza kwa Magufuli mpaka Kafa
Kwenye kipindi cha JPM, niliwahi gombea chochote?.
Kaanza kwa Mama bado hali ni tete
Wengi wenu mmemfahamu Mama Samia, baada ya kuwa Rais wa JMT, angalia tarehe ya bandiko hili ni la lini na nilizungumza nini kumhusu Samia!, Jee nilikuwa najipendekeza kwa Samia tangu 2010?.
P
 
Hakika uandishi wa habari unautendea haki kuliko uwakili
 
Mkuu salute kwako na heshima kwako.
 
..Ssh amekuwa Rais kwa bahati.

..hakuna mtu alikuwa akifikiria kuwa Ssh atakuwa Raisi
Mkuu JokaKuu, sio kweli kuwa hakuna mtu aliyedhania Samia anaweza kuja kuwa rais wa JMT!, watu tupo na hii ni 2010!, tena wakati huo hata huo uwaziri tuu, Samia alikuwa bado!.
Hivyo nawaomba sana tuzifute hizi kauli za rais bahati!, kauli sahihi ni Samia ameupata urais wa JMT kwa kudra za Mwenyezi Mungu, hii maana yake kama ilivyokuwa kwa JPM alikuwa ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania ile ya Magufuli, sasa Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania hii! Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania
P
 
Naamini umepandisha bandiko hili makusudi, tabiri tena maana mkeka u karibu Kutoka😃😃
 
Mkuu Pascal una TATIZO GANI mkuu!?

Na huu uandishi makini Bado DOLA haijakuona Kuwa una KITU cha ku offer KWENYE hili Taifa!?

YAANI!!?ulikosea WAPI!?kwanini!?

Au Wana subiri Hadi mimi nishike hatamu Ndio nikuteue!!?
AISEH

Mimi sijaridhishwa na Wewe Eti Kuwa mwandishi wa kujitegemea TU!!!

So sad!
 
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kwa Tanzania, Mwanamke numberi uno ni Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa vile wengi wamemjua Samia baada ya kuukwaa urais wa JMT, hivyo sio vibaya tukiwajulisha watu humu, waona mbali walianza lini kumspot Mwanamke huyu.
Hongera sana kwa wanawake wote duniani tunapokwenda kusherehekea siku ya wanawake duniani.
P
 
Mwenyezi Mungu atie wepesi Mungu ni mwema wakati wote
 
Tusimdharau Samia, hakuibuka tuu kama uyoga, ametoka mbali na hakubebwa, amejibeba, sehemu pekee alizobebwa ni mbili,
1. Kuwa VP, hapa alibebwa na JPM,
2. Urais wa JMT, hapa amebebwa na YEYE MWENYEWE AMBAYE NDIE YEYE

Nimeukumbuka uzi huu katika kukumbushana tuu baada ya kuusoma uzi huu Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu wa Mkuu
Nashauri tuukubali ukweli wa siasa za Kiafrika, African democracy, mwanamke hata uwe mzuri vipi katika utendaji, ili ukubalike na kuchaguliwa lazima kufanyika kwa some affirmative actions za kiwango fulani, the same applies to Samia, aliupata u VP kwa affirmative action so does Anna Makinda na sasa Dr. Tulia Akson.

The final affirmative action kwa Samia from No. 2 into No.1, imefanywa na Mwenyewe HE WHO HE IS!.

Lakini tukija kwenye our top female politicians, ukimuondoa Prof Ana Tibaijuka ambaye age iliishamtupa mkono, who is any other woman that would have made a better president than Samia?, nitajie...
Kama hakuna, ina maana Samia is the best that we have, unless thingies kwenye notion kuwa Tanzania bado hatuna competent females befitting the post of president of URT.

Tumpe tuu maua yake Samia.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…