New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Kuna wengi wamemjua Samia baada ya kuwa rais wa JMT, hapa najikumbusha watu walimpoti lini na wakasema nini kuhusu 2025, tangu 2010, fifteen years back!.
Mtu kama huyu, leo anapomsifia Rais Samia, kumuita, chawa sio kumtendea haki, ni sawa na kumtukana!.
P.
 
Dooh we jamaa ni noma ...umepita mulemule halafu Uzi wa 2010
 
Mayala Pascal kumbe una roho ya unabii sana.
 
Pascal Mayalla umeanza siku nyingi sana kumsifia huyu mama. Huo u-high profile kwa huyu mama umekaa wapi wakati hata shule alifeli form 4??
Sio kweli kuwa alifeli form 4, ila hakufanya vizuri kivile, sio kwasababu she is not bright, kuna wengi very bright lakini wanafanya vibaya kutokana na different circumstances. Hata JK alipata GPA ya 2.1 lakini ni one of our very best we had, na JPM was the highest IQ president we ever had, lakini ile PhD yake ni C&P pari materiale, na aliyemdakua ni mtu wa jf, he just vanished into thin air!.
P
 
Mkuu Enthusiastic , mimi ni just natural born with deep instinct tuu, kutokana na kuzaliwa familia ya.hao jamaa. Mtu wao hawezi kuleta mada kama hii humu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Tena nimewahi kujitolea kuwasaidia
Very unfortunately, they couldn't protect him, ile Machi 12 ndio siku jamaa ali nanilii badala kumlinda kuwazuia watu wa kazi zao wakafanya yao, hayo manungayembe yakabaki yakihangaika na a ... body for 5 good days wakimsubiria yule Pasta msanii mfufua misukule aliwaahidi angemfufua!Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

P
 
Kalamu siku zote hutunza ushahidi wa kile kinachotokea. Sitta, Membe, Magufuli na Lowassa wote ni marehemu kwa sasa.
 
Duh aisee....

Yericko Nyerere aje ajifunze kitu kwako kabla ya kukimbilia kuandika matapishi yake, kwa lengo la kuwahadaa wajinga wenzake.
 
Naona kaka mkubwa unamendea tonge. Nakuombea ulipate
 
Paschal KionaMbali Mayala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…