Pascal Mayalla umeanza siku nyingi sana kumsifia huyu mama. Huo u-high profile kwa huyu mama umekaa wapi wakati hata shule alifeli form 4??Very high profile woman from Zanzibar,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal Mayalla umeanza siku nyingi sana kumsifia huyu mama. Huo u-high profile kwa huyu mama umekaa wapi wakati hata shule alifeli form 4??Very high profile woman from Zanzibar,
Kuna wengi wamemjua Samia baada ya kuwa rais wa JMT, hapa najikumbusha watu walimpoti lini na wakasema nini kuhusu 2025, tangu 2010, fifteen years back!.Wanabodi,
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Uzi umeeditiwa huo...huitaji elimu kubwa kufahamu Hilo...angalia post page ya pili Kuna jamaa aliiquote original thread isiyo na jina la Samia kabisaPascal Mayalla umeanza siku nyingi sana kumsifia huyu mama. Huo u-high profile kwa huyu mama umekaa wapi wakati hata shule alifeli form 4??
Dooh we jamaa ni noma ...umepita mulemule halafu Uzi wa 2010Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Mayala Pascal kumbe una roho ya unabii sana.Wanabodi,

Mtu wa jikoni huyo japo huwa anakataa kata kata. Tofuti na waliooko kwenye nafasi zinazohitaji kujichanganya kama RSOs, DSOs na wengine tunaowaona kwenye shughuli za kila siku hawa wegine kama Pascal Mayalla huwa hawakubali kama ni watu wa jikoni na ndio maadili ya kazi yaoMayala Pascal kumbe una roho ya unabii sana.
Sio kweli kuwa alifeli form 4, ila hakufanya vizuri kivile, sio kwasababu she is not bright, kuna wengi very bright lakini wanafanya vibaya kutokana na different circumstances. Hata JK alipata GPA ya 2.1 lakini ni one of our very best we had, na JPM was the highest IQ president we ever had, lakini ile PhD yake ni C&P pari materiale, na aliyemdakua ni mtu wa jf, he just vanished into thin air!.Pascal Mayalla umeanza siku nyingi sana kumsifia huyu mama. Huo u-high profile kwa huyu mama umekaa wapi wakati hata shule alifeli form 4??
Mkuu Enthusiastic , mimi ni just natural born with deep instinct tuu, kutokana na kuzaliwa familia ya.hao jamaa. Mtu wao hawezi kuleta mada kama hii humu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Mtu wa jikoni huyo japo huwa anakataa kata kata. Tofuti na waliooko kwenye nafasi zinazohitaji kujichanganya kama RSOs, DSOs na wengine tunaowaona kwenye shughuli za kila siku hawa wegine kama Pascal Mayalla huwa hawakubali kama ni watu wa jikoni na ndio maadili ya kazi yao
Nilibaki hata Mimi mdomo wazi kumbe umeeditiwaUzi umeeditiwa huo...huitaji elimu kubwa kufahamu Hilo...angalia post page ya pili Kuna jamaa aliiquote original thread isiyo na jina la Samia kabisa
Kalamu siku zote hutunza ushahidi wa kile kinachotokea. Sitta, Membe, Magufuli na Lowassa wote ni marehemu kwa sasa.Wanajamii,
Yaliyompata Sitta ndiyo yaliyostahili yampate! Alikuwa anajijengea himaya na utukufu wa bandia. Akiwa kiongozi wa mhimili mmoja wa dola, alikuwa anapeleka nchi pabaya anajiona yeye na mhimili wake ni bora zaidi kuliko mihimili mingine, yaani Serikali (Utawala/Baraza la Mawaziri), na Mahakama! Wakati fulani, baada ya Rais kumaliza kulihutubia Bunge, Sitta, kwa kujiamini kwake kupita kiasi, akamkoasoa hata Rais na kumsema kuwa ni mpole sanana sisi (tunaojua zaidi) tuko tayari kukusaidia Ni matamshi ambayo hayakustahili yafuatie hotuba nzuri ya Rais!
Huo unaoitwa Ufisadi ambao Sitta, ndani ya Bunge na watu kama Mfanyabiashara Mengi nje ya Bunge, wanajifanya ndiyo wapiganaji wake watakatifu, siyo chochote ila ni kuwasakama tu waliofanikiwa kuongoza Serikali, mwaka 2005, ikiwa ni madhila yanayotokana na genge fulani kushindwa katika kinyanganyiro cha Urais, mwaka huo. Sitta naye alijiunga na kulisaidia gnge hilo, kiusaliti, kwa vile naye alikuwa mhanga - aliutaka Uwaziri Mkuu na akaukosa! Lilipojitokeza suala la Richmond, likasukwa katika namna ya kumsulubu Edward Lowassa, kwa kumninginiza nalo shingoni mpaka akalazimika, kiungwana, kujiuzulu. Waliukataa hata ushahidi wake wa maandishi na hawakutaka hata kumhoji! Sitta na Mwakyembe ndiyo authors (watunzi) wakuu wa Ripoti ya Richmond, ambayo siyo tu ilikuwa ni uzushi, bali ni ushuzi mtupu! Hakuna uthibitisho wowote, mpaka leo hii, wa Richmond na Lowassa! Kama Ufisadi maana yake ni ubinafsi na ubadhirifu wa fedha za umma , basi muangalieni huyo Sitta wenu:-
· Amejipangishia nyumba, ambayo anahusika nayo, inayolipiwa na Serikali pango la USD 8,000 (sawa na Tsh. Milioni 12) kila mwezi, zikiwa ni kodi za wananchi;
· Samani ya nyumba yake ya hapo juu iligharimiwa na Serikali kwa TSh. Milioni 300;
· Amejijegea hekalu la Ofisi ya Mbunge Urambo, kwa gharama ya zaidi ya mara kadhaa juu ya kile kiasi kiichotengwa maalum na Serikali kwa Ofisi za aina hiyo kwa Wabunge. Alisema ni ya hadhi ya Spika, ambaye alidhani wakati wote utakuwa ni Mbunge wa Urambo, mpaka afe;
· Ana interest katika biashara ya kuuza nje mbao/magogo/maliasili;
· Ndiye aliyeshinikiza Wabunge kupata marupurupu manono, zaidi ya Tsh. Milioni 40 kwa kukaa Bungeni kwa miaka mitano tu, yakiwa ni mara 10 zaidi ya anayopata Profesa wa Chuo Kikuu aliyenoa bongo kwa uhakika na anayefundisha vijana wetu kwa miaka 30;
· Ameshabikia kukifarakanisha Chama chake vs Serikali na Bunge, mpaka utekelezaji wa Ilani ya CCM ukasuasua na chama hicho kupata ushindi kiduchu mwaka 2010! Alishabikia porojo za EPA, Suala la Madini, Kiwira (kwa kusaidiwa na akina Mengi na vyombo vyake vya habari na magazeti yaliyokubali kutumiwa ya akina Saed Kubenea), bila ya tija yoyote! Fitina tu!
Huyu ndiye mpiganaji wa Ufisadi. Tatizo letu siyo Ufisadi. Kwani Mafisadi walikuwepo enzi za Nyerere tulipokuwa tunakula sembe ya njano ya msaada wa Marekani; maduka ya kaya yasiyokuwa na kitu; foleni za kila kitu; petroli ya mgao; idadi kiduchu ya vijana wanaopata elimu ya juu (ndiyo maana tukawa tunasaidiwa kusoma bure Urusi, Uchina, Cuba na nchi za kijamaa za Ulaya Mashariki); uchumi uliokuwa hasi wa 2%; mfumuko wa bei wa 35%; sigara inayouzwa kwa mkupuo; bia ya ya kibali n.k.?
Bwassa
Duh aisee....Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Naona kaka mkubwa unamendea tonge. Nakuombea ulipateWanabodi,

Paschal KionaMbali Mayala...Wanabodi,