New Couple in Town! I love you so much!

Wacha bhana...πŸ™†β€β™‚οΈ
Kwamba mleta uzi ndio sinyorita...😜
 
kwahyo mwezi wa sita kwenye EURO tukiwa wazima utakua unacheki game uku upo Na mtoto pembeni ila kwa uzoefu wangu wakosoma comment zako mbona unaonekana ni kijana mdogo kwake
mkuu, niko hapa jukwaani.
Kwa takribani miaka kumi na moja sasa.

Na kwenye hiyo miaka 11 iliyopita niliwahi kurun mijadala mikubwa tu na manguli wa kipindi hicho.

Take it πŸ˜‚ nilikuwa na miaka mingapi?
Ndio ujumlishe 11
 
mkuu, niko hapa jukwaani.
Kwa takribani miaka kumi na moja sasa.

Na kwenye hiyo miaka 11 iliyopita niliwahi kurun mijadala mikubwa tu na manguli wa kipindi hicho.

Take it [emoji23] nilikuwa na miaka mingapi?
Ndio ujumlishe 11
sawa legend chukua jiko ilo ila usikatese kadada ka watu maana kanaonekana ni kastarabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…