New Couple in Town! I love you so much!

New Couple in Town! I love you so much!

Sikia, sisi wala hatuna mpango wa kuonyeshana. Ni mimi tu nafikiri itakuwa vyema nikiwaletea thread moja tu ya love story yetu maana ina mengi ambayo kiukweli napenda watu wajifunze.
Binafsi sijatarget huba lako, nachojaribu kusema ni kwamba mara nyingi mapenzi yenye aina flan ya kutaka watu wajue abc zenu kutaka watu waamini mnapendana sana bas pana shida hapo....siku za wapendanao zikitimia utajua ile marketing yote ilikua hadaa tu 🤣🤣🤣 mfano mzur mbona hata humu nyuzi kibao
 
Kwenye mapenzi kuna kupanda na kushuka.
Kwa sasa tuko juu.
Na tunaweza tusishuke vilevile...
 
Back
Top Bottom