To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Huyo mume wa mtu atanitesa labda Tresor Mandala 😘Charles anatosha😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mume wa mtu atanitesa labda Tresor Mandala 😘Charles anatosha😃😃
Oh sawaKama unampenda unaogopa kumwanzishia?
Acha kuniuza🙄Msikilize mwenzio
🤣🤣🤣🥴 hizo emojiiiiMie sio kijana wa hovyo sina hayo mambo ☺️🤒🥴🥴
Kwa sifa moja umenikamata Nakupa we peke yako ndo umeniweza Nilikopita nimeteleza Lakini kwako we ndo kiboko yangu🤣🤣🤣🥴 hizo emojiiii
🤣🤣Niache wivu au
Charles kilian kumbe ushaoa?Huyo mume wa mtu atanitesa labda Tresor Mandala 😘
Huu wimbo umeanza kuniteka!😉Ucheshi na sauti
amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Charles kilian ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na rafiki zake eh
Basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
Cc: To yeye
Hapo sasa sijuiKuna mazingira labda yamewekwa someone to get relief Kwa kujulisha ulimwengu
Sasa ulijua hana familia?Charles kilian kumbe ushaoa?
Wewe Mwana Uto Charles kilian haya hii ni penalty, upaishe sasa.Huu wimbo umeanza kuniteka!😉
Oyooo,mshangazi amepata mumee🥰😘😘😘Kwa sifa moja umenikamata Nakupa we peke yako ndo umeniweza Nilikopita nimeteleza Lakini kwako we ndo kiboko yangu
🤣🤣🤣Acha utoto ww!Ulishadate pisi kali wewe?
We mpenz wako umempeleka wapi sasa?Wewe Mwana Uto Charles kilian haya hii ni penalty, upaishe sasa.
Ana mke na watoto brosi ndio yuko kwenye hatua za kuestablish?