New Couple in Town! I love you so much!

Mnapenda kuhudumiwa daily...hahahahahaha..dah mchepuko halafu una force huduma km mke ..hahahahahaha..dah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakika wanaume wachache sana.Afu kuna ile unaweza mheshimu mwanaume kama mwanaume kumbe ni mvulana wa mipasho kila kona ya ukuda yumo...unabaki 😳.....ila hudumieni bhana ndo uanaume ujue
 
Ndio maana mimi naamini hakuna mdada anapenda mtu hana hela tena hela ile ya mizinga muda wote
Rejea hekaya za uumbaji, Adam aliumbwa kamili, akaletewa mke Kama msaidizi.....
Akaambiwa mume ampende mke, mke amtii mume.....kanuni ya utiifu ni kumtii anayehudumia, hata mbwa humtikisia mkia anayempa chakula.

Toa hela ule mema ya dunia....achana na 50/50
 
Swadakta atakuigizia kweli then utasikia ..mama anaumwa...sijui vicoba nimechelewesha..sijui mtoto ada...mara nataka kufanya hiki ..yote hayo mizinga

Kama umeelewq hivyo sawa sawa
Sasa hivi ni mwendo wa nipe nikupe na hapo mwanaume jitahidi sana ndio umzidi mbinu vinginevyo akikuzidi atakufilisi. Hawakosagi sababu ya kutaka hela.
 
Kuna ukweli kwenye hili, nowdays usipotoa hela unaonekana kama mbuzi tu
 
Kuna ukweli kwenye hili, nowdays usipotoa hela unaonekana kama mbuzi tu
🤣🤣🤣🤣, Mila zote za kale ili kijana aoe lazima awe anajiweza na kumudu kuhudumia mke🤣🤣🤣 tena mzazi angemuongeza na vimifugo vimsaidie.
Tatizo siku hizi mambo yamerahisishwa....kijana jobless nae anataka mpenzi🤣🤣🤣 watalia sana.....mapenzi gharama
 
Hahahahahaha..na raha ya kuhumudia huudumie mke au mdada unayejua huyu sawa anastahili
 
Jobless nae ana moyo na hisia 😂

huna hela huna chako wewe n mdau tu wa mapenz kwa muda.
 
Nani wa kike sasa kati Yako na huyo uliyemtaja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…