Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahahaUbarikiwe sana mom....niliapa sitoamini mtu tena kiboya....ninae mpenzi ila Akibaki Sawa akienda sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahaUbarikiwe sana mom....niliapa sitoamini mtu tena kiboya....ninae mpenzi ila Akibaki Sawa akienda sawa tu
Hawapo atakuigizia kwa muda tu ila awezi kudumu, tangu nilielewe hili nimekuwa huru sana.Ndio maana mimi naamini hakuna mdada anapenda mtu hana hela tena hela ile ya mizinga muda wote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakika wanaume wachache sana.Afu kuna ile unaweza mheshimu mwanaume kama mwanaume kumbe ni mvulana wa mipasho kila kona ya ukuda yumo...unabaki 😳.....ila hudumieni bhana ndo uanaume ujueMnapenda kuhudumiwa daily...hahahahahaha..dah mchepuko halafu una force huduma km mke ..hahahahahaha..dah
Swadakta atakuigizia kweli then utasikia ..mama anaumwa...sijui vicoba nimechelewesha..sijui mtoto ada...mara nataka kufanya hiki ..yote hayo mizingaHawapo atakuigizia kwa muda tu ila awezi kudumu, tangu nilielewe hili nimekuwa huru sana.
Tatizo vijana hatufanyi mambo kwa ufahamu.Hawapo atakuigizia kwa muda tu ila awezi kudumu, tangu nilielewe hili nimekuwa huru sana.
Afu we falla siku hizi nkorofi😂🤣🤣🤣🤣Duuuh hiyo ni shida kwenye medulla oblongata
Hisia zinatugharimu wengi ila siku hizi mambo yamebadilika sana.Tatizo vijana hatufanyi mambo kwa ufahamu.
Rejea hekaya za uumbaji, Adam aliumbwa kamili, akaletewa mke Kama msaidizi.....Ndio maana mimi naamini hakuna mdada anapenda mtu hana hela tena hela ile ya mizinga muda wote
Sasa hivi ni mwendo wa nipe nikupe na hapo mwanaume jitahidi sana ndio umzidi mbinu vinginevyo akikuzidi atakufilisi. Hawakosagi sababu ya kutaka hela.Swadakta atakuigizia kweli then utasikia ..mama anaumwa...sijui vicoba nimechelewesha..sijui mtoto ada...mara nataka kufanya hiki ..yote hayo mizinga
Kama umeelewq hivyo sawa sawa
Kuna ukweli kwenye hili, nowdays usipotoa hela unaonekana kama mbuzi tuRejea hekaya za uumbaji, Adam aliumbwa kamili, akaletewa mke Kama msaidizi.....
Akaambiwa mume ampende mke, mke amtii mume.....kanuni ya utiifu ni kumtii anayehudumi, hata mbwa humtikisia mkia anayempa chakula.
Toa hela ule mema ya dunia....achana na 50/50
Kwa hiyo mkifirisika mnakimbiwa?. Halafu hebu niambie yupi mwanaume na yupi mwanamke kati ya wewe uran na financial services . Kama mwandiko wako wa kike kike hivismart alifilisika.
Sawa sawa Rafiki umeelewekaRejea hekaya za uumbaji, Adam aliumbwa kamili, akaletewa mke Kama msaidizi.....
Akaambiwa mume ampende mke, mke amtii mume.....kanuni ya utiifu ni kumtii anayehudumia, hata mbwa humtikisia mkia anayempa chakula.
Toa hela ule mema ya dunia....achana na 50/50
🤣🤣🤣🤣, Mila zote za kale ili kijana aoe lazima awe anajiweza na kumudu kuhudumia mke🤣🤣🤣 tena mzazi angemuongeza na vimifugo vimsaidie.Kuna ukweli kwenye hili, nowdays usipotoa hela unaonekana kama mbuzi tu
Hahahahahaha..na raha ya kuhumudia huudumie mke au mdada unayejua huyu sawa anastahili🤣🤣🤣🤣, Mila zote za kale ili kijana aoe lazima awe anajiweza na kumudu kuhudumia mke🤣🤣🤣 tena mzazi angemuongeza na vimifugo vimsaidie.
Tatizo siku hizi mambo yamerahisishwa....kijana jobless nae anataka mpenzi🤣🤣🤣 watalia sana.....mapenzi gharama
Jobless nae ana moyo na hisia 😂🤣🤣🤣🤣, Mila zote za kale ili kijana aoe lazima awe anajiweza na kumudu kuhudumia mke🤣🤣🤣 tena mzazi angemuongeza na vimifugo vimsaidie.
Tatizo siku hizi mambo yamerahisishwa....kijana jobless nae anataka mpenzi🤣🤣🤣 watalia sana.....mapenzi gharama
Aisee nimepamiss chigugu chikukwe😂😂😂Nyie watu kumbe hua mnakutana
Na mimi nianze kupita PM uko labda ntapatamo kitu shida JF members huku Chigugu hampo
Very new couple mjini!!
Sio siri tena.
Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa.
Usingle tupa kule.
View attachment 2925343
My darling love financial services,
I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana!
Ladies & Gentlemen its our time!
View attachment 2925354
My One and Only financial services.
I promise to Love and care for you to Infinity...
Am happy to have you my darling love.
Sasa kama siyo mke au huyo dada unayeona anastahili unatembea naye wa niniHahahahahaha..na raha ya kuhumudia huudumie mke au mdada unayejua huyu sawa anastahili
Congratulation jamaa, umempata huku huku?Very new couple mjini!!
Sio siri tena.
Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa.
Usingle tupa kule.
View attachment 2925343
My darling love financial services,
I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana!
Ladies & Gentlemen its our time!
View attachment 2925354
My One and Only financial services.
I promise to Love and care for you to Infinity...
Am happy to have you my darling love.