Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hahaha, hahahaha. Ngoni tribe Wana nifurahisha hapa.We unahisi kuna ndoa hapo .
Japo lugha yao ngumu, hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, hahahaha. Ngoni tribe Wana nifurahisha hapa.We unahisi kuna ndoa hapo .
HahahaHuwa siamini kama wadada huwa wanapenda ..sijui kwanini siamini
Huyo ni simba mwenda pole, yeye kucheka tu ila yupo na mambo makubwa🤣🤣Mwambie na yeye Tresor Mandala asubiri kuzeeka kama sisi ndio ataelewa mbinu za kivita
Hahahahaha ule wimbo waliandamana mpk ukazuiliwaHahaha, hahahaha. Ngoni tribe Wana nifurahisha hapa.
Japo lugha yao ngumu, hahaha
Hahahahaha hujamwambia ila una muelewa sana..umeamua kumwambia kikubwa kupitia uzi huu..sasa kazi kwake🤣🤣🤣🤣🤣Sijamwambia mara siku nyingine nitambulishwe Kwa wababez wake,yaani tafrani
Hahahahaha...muzee mwenzangu..mopao..mukulukulu mie siko hivyoHuyo ni simba mwenda pole, yeye kucheka tu ila yupo na mambo makubwa🤣🤣
Hahaha, shida wali ambiwa ukweli mchungu.Hahahahaha ule wimbo waliandamana mpk ukazuiliwa
Hahahahaha mie nakaribia 50 unataka nizeeke vipi tena shem?Mwambie na yeye Tresor Mandala asubiri kuzeeka kama sisi ndio ataelewa mbinu za kivita
Hahahahaha..maudhui yakoje lknHahaha, shida wali ambiwa ukweli mchungu.
Hii Nyimbo Ina chekesha Sana, japo lugha yao ngumu.
🤣🤣🤣Aaah mbona ushem Tena unataka kuninyima Nini?Hahahahaha mie nakaribia 50 unataka nizeeke vipi tena shem?
Unadhani ndio Uzi huu wa kwanza kumwambia?yaani anajifanyaga haelewiHahahahaha hujamwambia ila una muelewa sana..umeamua kumwambia kikubwa kupitia uzi huu..sasa kazi kwake
Hahahahahaha..kunyimana tena jamani..ndugu yangu ERoni🤣🤣🤣Aaah mbona ushem Tena unataka kuninyima Nini?
Ataelewa tu ,mie nitakua namkumbusha ,hahahahahahaUnadhani ndio Uzi huu wa kwanza kumwambia?yaani anajifanyaga haelewi
Umekula za uso....penzi lenyewe ni la I love you,halina I love you too😁😁😁Wadau! mambo yamekuwa mengi kidogo.
Nini point ya post hii jamani?Very new couple mjini!!
Sio siri tena.
Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa.
Usingle tupa kule.
View attachment 2925343
My darling love financial services,
I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana!
Ladies & Gentlemen its our time!
View attachment 2925354
My One and Only financial services.
I promise to Love and care for you to Infinity...
Am happy to have you my darling love.
😂😂😂Halafu wewe na yeye mko sawa vichwa vyenuAtaelewa tu ,mie nitakua namkumbusha ,hahahahahaha