New Couple in Town! I love you so much!

New Couple in Town! I love you so much!

We umemwamini huyu ni mziba riziki tu,kaona last week dada kasema yupo single Leo kaibuka yeye eti wako in love,Kuna bwege aliwahi niandikiaga ushubwada kama huu alinikera mpaka leo hatupendani yaani😁😁
Eti bwege aliandikaga ushubwada kama huu...hahahahha..huyo bwege itakua alikuharibia sana aisee ..dah pole sana
 
Unajua mfano nikikuta Mtu kama ERoni kaniandikia Uzi Siwezi shangaa maana nishazoe utani wake wa Kila siku,ila unakuta mtu hata humjui alikotokea kaja na waraka,unanyong'onyea🙆
Hahahahaha..sasa huyo ndio anakua yuko serious..hataki utani ..msifanye mambo yawe magumu jamani..ndio maana watu wanaogopa kuja PM ,vipengele vingi
 
Back
Top Bottom