Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahaHahaaa na bado ukaniacha
Life is not fair wallah[emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaHahaaa na bado ukaniacha
Life is not fair wallah[emoji22]
Ok sawa acha niamini usemayoMwenye Yuko serious hawezi Fanya hivi,naamini huu ni utani,lakini the way mlengwa alivyokaa kimya inaonyesha hajapenda,amini nakuambia...
Ni kweli aisee aisee. Huyu Uran atengue kauli atamtamani vipi anonymous 🤣🤣🤣🤣Mwenye Yuko serious hawezi Fanya hivi,naamini huu ni utani,lakini the way mlengwa alivyokaa kimya inaonyesha hajapenda,amini nakuambia...
Kumbe watu mna ndegewenu na hamsemi 😀May be he is right.
Maana huna hili wala lile MTU anakuanzishia uzi jf mwishowe apeperushe hata wale mdege wako
Wengine tuwe Wasomaji na watoa comments tu. Huu ulimwengu wa JamiiForums ni mgumu kuulewaKumbe watu mna ndegewenu na hamsemimi 😀
Kwakweli yetu machoWengine tuwe Wasomaji na watoa comments tu. Huu ulimwengu wa JamiiForums ni mgumu kuulewa
Safiii.... Hizi picha umetengeneza kwa kutumia nini?Very new couple mjini!!
Sio siri tena.
Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa.
Usingle tupa kule.
View attachment 2925343
My darling love financial services,
I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana!
Ladies & Gentlemen its our time!
View attachment 2925354
My One and Only financial services.
I promise to Love and care for you to Infinity...
Am happy to have you my darling love.
Ni wapi unafeli Kamanda ?Very new couple mjini!!
Sio siri tena.
Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa.
Usingle tupa kule.
View attachment 2925343
My darling love financial services,
I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana!
Ladies & Gentlemen its our time!
View attachment 2925354
My One and Only financial services.
I promise to Love and care for you to Infinity...
Am happy to have you my darling love.
😀Nipo mbona
Naona Mahondaw anatumia id zote, anajibebisha mwenyewe sasaCc: Mahondaw imeishia wapi?
😂😂😂Usichoelewa Nini sasa?usithubutu kuandika hivi kama huna mazoea na Mtu...Kuna watu Wana wapenzi serious humu,unakuwa chanzo Cha mgogoroWengine tuwe Wasomaji na watoa comments tu. Huu ulimwengu wa JamiiForums ni mgumu kuulewa
🤣🤣🤣Naona Mahondaw anatumia id zote, anajibebisha mwenyewe sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]financial services nimekutana nae jioni hii.
Tumeongea mambo kadha wa kadha.
Kwa ufupi tuu.
Kwanza amesikitika sana na kitendo hiki.
Pili amezidi kusisitiza kwamba jimbo bado liko wazi kwa wanaume ambao wako serious na watakaokidhi vigezo.
Mwisho amewatakia wiki njema katika kazi zenu.
Yeye binafsi amebanwa na majukumu ya kikazi na kifamilia.
Asanteni.
Kwamba anapunguza ushindani kijanja[emoji28][emoji28]We umemwamini huyu ni mziba riziki tu,kaona last week dada kasema yupo single Leo kaibuka yeye eti wako in love,Kuna bwege aliwahi niandikiaga ushubwada kama huu alinikera mpaka leo hatupendani yaani[emoji16][emoji16]