Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
We unahisi kuna ndoa hapo .Angalizo huyo bidada haitaji kujuana muda mrefu maana umri umemtupa mkono hongera kwa kumpata dark chocolate.
Nb: Ni mwanamke mmoja mpambanaji sana na usiniulize nimejuaje na siku ya harusi yenu nitakuwepo kama kweli umedhamiria