WCB bila kiki,mambo hayaendi!
Watateseka sana kuzima moto wa "utu"!
Wimbo wetu wa valentine ni Huo,tumeshaamua kama kamati!
 
Kama Diamond akioa na mimi ipo siku ntaoa tu. Maana yake sijawahi kufikiria kuoa hata siku moja. I don't trust them ladies, wanalenga wakupige hela ndio akili ukakae vizuri
 
🀣🀣🀣
 

Wanawake sio viumbe wazuri kabisa
 
Nimecheka sana
 
Na yeye yupo wapi sasa hivi? Pole sana chief
 
Teh teh

Ukishachanganya mapenzi na kazi ,kwishney

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…