Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hii nchi ngumu sanaHyo siri ya kambi!yawezekana kabisaa
Ila mziki wa bongo ukiwa binti inabidi utoe sana mbunye,maana Nandera alikua na jasiri,kabla akina mwasiti wote kushine kule mwanzoni walikua wanaliwa, Ray C mpk aligombana na Zama, Jide ndo enzi hizo it was history walienda south wakalala room moja jasiri na jide habari zikafika bongo!!!
Queen alikuwa anadate na mzee wa yoo!
Zuchura nae kaona bora ajiongeze la sivyo atachunda buree!
kama inakuja hivi halafu inakataaTrust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Acha uchawa Mkuuu.Ni Nassib Abdul tena almaarufu kama Diamond Platnunz, zee la kubadilisha flavor.
Toto Mama Sandra, zee ka kutumia fursa.
Mambo yaki Zanzibar tena hayoNasikia kamtoa bkra tayar mazima aoe kwa lazma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Yaani nimecheka mpaka nimekaa chini hapa hapa sokoni aisee!!Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani umenichekesha mimiIla mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Mambo ya kawaida sana hayaHatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz.
Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2068918
Kabla ya kuwa na Dada Sukari alikuwa anatoka na yule presenter wao(Aaliyah), ila sasa kahamia kwa Dada wa Kikojani. Dada mtangazaji Gari kanyang'anywa karudi kupanda bajaji na kushika bomba, walikuwa mashosti na Zuchu ila urafiki umekufa maana kamnyang'anya tonge mdomoni na nasikia anataka kuhamia Radio ya Baba G (Majizzo) maana pale tena mambo yamekuwa mengi.
Ila wanawake wengi mwalimu wetu kipofu. Yaani kijana huyu alivyowapiga matukio mama watano Zari the Bosslady, mama D Hamisa Mobetto na yule Dada wa Kikenya Tanasha bado wengine wanajichomeka na kujionesha live live bila chengaa. Si bora wangekuwa wanaliwa kimya kimya tuu!! Hivi hatujifunzi eeehhh!!!!daah!!!
Anyway kila mtu na lake na mchumia janga hula na wa kwao!
Tunasubiri single mama mwingine mjini maana wadada wanakimbilia kujibebesha mimba fastaa ili waache chapa yake. Mjanja alikuwa cappuccino Tunda tu ambaye inadaiwa hakutaka hata kuwa na kizagyote cha mshikaji alikuwa anazichomoa tu kila akipata.
Haya sasa wenye timu zetu haswa team Hamisa tuone mkihamia kwa Dada wa Kikojani Zuchu kumtusi maana mmemtusi mama D mpaka Leo hamjakubali kumove on!!! Kama nawaona vile hukoo waliko Leo Team Zari wakijiandaa mashambulizi dhidi ya Dada Sukari!!
RIP my cousin Warumi! We Miss you[emoji8][emoji8][emoji8]