Kwetu wamewapokea wakina karamagi PORT na sisi fresh tu hakuna kelele wala kuuliza kitu 😛 😛Hawa si ndio walipewa Kenyatta International Airport wafanyakazi wa Airports zote wakagoma nchi nzima na deal likasimama?
David ni Mngoni ni mtoto wa mzee kasambala wa kijiji cha nguruka sema tu mzee kafulila alipewa mtoto asiye wakeMpemba achana na watu wenye roho mbaya
Tanzania 🇹🇿 ni mahiri wa maneno lakini vitendo ni sifuriKatika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.
Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.
Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Kusema kweli sijawahi kuziona. Lakini location ya kiwanja iko kimkakati zaidi iwe kwa kiutawala, kijeshi au michezo na kibiashara.Mkuu Ndege zote hizi ndogo za UNHCR zinazotoka Mwanza na kutua Kibondo, Kisha Kigoma Ulikuwa hauzioni Mkuu?
Kwa hiyo wameendesha Airport 2 tu za nje ya India - na hawana uzoefu wa Africa.
Hii ni mission ya waziKatika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.
Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.
Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Dalali.. tusubiri kina kitenge na wenzake waanze kupush ajenda.
Watapelekwa kutembelea Inda sasa hivi...Dalali.. tusubiri kina kitenge na wenzake waanze kupush ajenda.
Watapelekwa kutembelea Inda sasa hivi...
Soon as possible sasa hv wapo studio wanaandaa ngonjera na vile walivyo vilaza.Watu wa minyama wakwee pipa hadi New Delhi kama walivyopaa hadi Dubai kutuletea habari za DP World kisha bandari za Tanganyika zikapewa mwekezaji.
Soon asa possible sasa hv wapo studio wanaandaa ngonjera na vile walivyo vilaza.
Agenda zipi mkubwa?Dalali.. tusubiri kina kitenge na wenzake waanze kupush ajenda.
Serikalini kutamu bhana..Naona kanenepa mpk anataka kupasuka.
All the best
Nenda na wewe kama ndio hivyoSerikalini kutamu bhana..
Kama huelewi pita kuliaAgenda zipi mkubwa?
Daaah huko ndio nitapata wa kunifafanulia?Kama huelewi pita kulia
🤣🤣🤣🤣🤣David ni Mngoni ni mtoto wa mzee kasambala wa kijiji cha nguruka sema tu mzee kafulila alipewa mtoto asiye wake
Huu wako ni uzushi kabisa aiseeBaada ya kuona trip / safari hii ya New Delhi India iliyohusu viwanja vya ndege maeneo mkakati nyeti tunaletewa habari picha fupi sana, bila maelezo ya kina nikajua kuna jambo zito litatufika kama Taifa hasa Tanganyika.
TAYARI UKIONA MANYOYA, MINYAMA YA NDEGE IMELIWA
Tulipoona thread nyingi za kumsifu David Kafulila hapa JamiiForums kila baada ya siku mbili tatu , tayari tukastuka kuunganisha wakili msomi Hamza Johari kutolewa wizara inayohusika na viwanja vya ndege kusogezwa hadi kwenda kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye anaingia bungeni ikawa njia ipo safi kuleta muwekezaji baada ya deal la DP World bandari.
14 August 2024
BREAKING: HAMZA JOHARI ATEULIWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
View attachment 3112207
oag.go.tz
https://www.oag.go.tz › members
Bw. Hamza Johari - Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ)
Hamza S. Johari was appointed as The Attorney General of The United Republic of Tanzania on August 14, 2024. Prior to this appointment, he was ....