Baada ya kuona trip / safari hii ya New Delhi India iliyohusu viwanja vya ndege maeneo mkakati nyeti tunaletewa habari picha fupi sana, bila maelezo ya kina nikajua kuna jambo zito litatufika kama Taifa hasa Tanganyika.
TAYARI UKIONA MANYOYA, MINYAMA YA NDEGE IMELIWA
Tulipoona thread nyingi za kumsifu David Kafulila hapa JamiiForums kila baada ya siku mbili tatu , tayari tukastuka kuunganisha wakili msomi Hamza Johari kutolewa wizara inayohusika na viwanja vya ndege kusogezwa hadi kwenda kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye anaingia bungeni ikawa njia ipo safi kuleta muwekezaji baada ya deal la DP World bandari.
14 August 2024
BREAKING: HAMZA JOHARI ATEULIWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
View attachment 3112207
oag.go.tz
https://www.oag.go.tz › members
Bw. Hamza Johari - Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ)
Hamza S. Johari was appointed as The Attorney General of The United Republic of Tanzania on August 14, 2024. Prior to this appointment, he was ....