New Delhi: Kafulila ateta na Makamu wa Rais wa GMR, kampuni ya 5 kwa ukubwa duniani katika ujenzi na uendeshaji wa viwanja vya ndege na ndege duniani

Hawa si ndio walipewa Kenyatta International Airport wafanyakazi wa Airports zote wakagoma nchi nzima na deal likasimama?
Kwetu wamewapokea wakina karamagi PORT na sisi fresh tu hakuna kelele wala kuuliza kitu 😛 😛
 
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Tanzania 🇹🇿 ni mahiri wa maneno lakini vitendo ni sifuri
 
Mkuu Ndege zote hizi ndogo za UNHCR zinazotoka Mwanza na kutua Kibondo, Kisha Kigoma Ulikuwa hauzioni Mkuu?
Kusema kweli sijawahi kuziona. Lakini location ya kiwanja iko kimkakati zaidi iwe kwa kiutawala, kijeshi au michezo na kibiashara.
 
Kwa hiyo wameendesha Airport 2 tu za nje ya India - na hawana uzoefu wa Africa.

Baada ya kuona trip / safari hii ya New Delhi India iliyohusu viwanja vya ndege maeneo mkakati nyeti tunaletewa habari picha fupi sana, bila maelezo ya kina nikajua kuna jambo zito litatufika kama Taifa hasa Tanganyika.

TAYARI UKIONA MANYOYA, MINYAMA YA NDEGE IMELIWA

Tulipoona thread nyingi za kumsifu David Kafulila hapa JamiiForums kila baada ya siku mbili tatu , tayari tukastuka kuunganisha wakili msomi Hamza Johari kutolewa wizara inayohusika na viwanja vya ndege kusogezwa hadi kwenda kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye anaingia bungeni ikawa njia ipo safi kuleta muwekezaji baada ya deal la DP World bandari.

14 August 2024
BREAKING: HAMZA JOHARI ATEULIWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

1727786928247.png

oag.go.tz
https://www.oag.go.tz › members
Bw. Hamza Johari - Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ)

Hamza S. Johari was appointed as The Attorney General of The United Republic of Tanzania on August 14, 2024. Prior to this appointment, he was ....
 
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Hii ni mission ya wazi
 
Dalali.. tusubiri kina kitenge na wenzake waanze kupush ajenda.
 
Watu wa minyama wakwee pipa hadi New Delhi kama walivyopaa hadi Dubai kutuletea habari za DP World kisha bandari za Tanganyika zikapewa mwekezaji.
 
Soon asa possible sasa hv wapo studio wanaandaa ngonjera na vile walivyo vilaza.

Script kali tayari imeshaandaliwa jinsi ya sinema hii itakavyochezwa, maana masuala ya kiufundi ya mikataba, watetezi serikalini na bungeni wameshapangwa kilichobaki ni kuuza agenda hii kwa watanzania ambao hawana kingine ila waliotekwa na habari za vilabu viwili vya Kariakoo Dar es Salaam na kule kwa P.Diddy Sean John Combs.
 
Baada ya kuona trip / safari hii ya New Delhi India iliyohusu viwanja vya ndege maeneo mkakati nyeti tunaletewa habari picha fupi sana, bila maelezo ya kina nikajua kuna jambo zito litatufika kama Taifa hasa Tanganyika.

TAYARI UKIONA MANYOYA, MINYAMA YA NDEGE IMELIWA

Tulipoona thread nyingi za kumsifu David Kafulila hapa JamiiForums kila baada ya siku mbili tatu , tayari tukastuka kuunganisha wakili msomi Hamza Johari kutolewa wizara inayohusika na viwanja vya ndege kusogezwa hadi kwenda kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye anaingia bungeni ikawa njia ipo safi kuleta muwekezaji baada ya deal la DP World bandari.

14 August 2024
BREAKING: HAMZA JOHARI ATEULIWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

View attachment 3112207
oag.go.tz
https://www.oag.go.tz › members
Bw. Hamza Johari - Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ)

Hamza S. Johari was appointed as The Attorney General of The United Republic of Tanzania on August 14, 2024. Prior to this appointment, he was ....
Huu wako ni uzushi kabisa aisee
 
Back
Top Bottom