New Delhi: Kafulila ateta na Makamu wa Rais wa GMR, kampuni ya 5 kwa ukubwa duniani katika ujenzi na uendeshaji wa viwanja vya ndege na ndege duniani

Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Hata umkileta bill gates kama rushwa Bado ipo ni kitu Bure sisi wafanabiashara wadogo tunakandamizwa Kila siku halafu unatafuta kiki huyo mkoloni anakuja kubeba mali za wajinga na kuondoka.
 
Naungana na wewe hapa ni sisi kubadili tabia tu
 
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Zamani niliambiwa kuwa Vizuri ujiuza na vibaya ujitembeza. Mhe. Kafulila anauza au anatembeza?
 
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Huyu ndio Adani?
 
Kuna siku Tanzània itafikia sehemu nzuri tu
 
Back
Top Bottom