Huu wako ni uzushi kabisa aisee
Hifadhi uzi huu kwa ajili ya rejea dili likikamilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wako ni uzushi kabisa aisee
Hata umkileta bill gates kama rushwa Bado ipo ni kitu Bure sisi wafanabiashara wadogo tunakandamizwa Kila siku halafu unatafuta kiki huyo mkoloni anakuja kubeba mali za wajinga na kuondoka.Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.
Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.
Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Naungana na wewe hapa ni sisi kubadili tabia tuHata umkileta bill gates kama rushwa Bado ipo ni kitu Bure sisi wafanabiashara wadogo tunakandamizwa Kila siku halafu unatafuta kiki huyo mkoloni anakuja kubeba mali za wajinga na kuondoka.
Natamani hii ATCL iuzwe tuNaungana na wewe hapa ni sisi kubadili tabia tu
Kiswaaswadu ndio nani?🤣🤣🤣Kiswaswadu mbaya sana alimpora tumbili mke kibabe sana
Yule mzee anapaka kiwi nyeusi kichwani kuficha mvi, yule altudanganya kuwa Jiwe yupo anachapa kazi wakati alikuwa tayari kwenye jokofu.Kiswaaswadu ndio nani?🤣🤣🤣
Zamani niliambiwa kuwa Vizuri ujiuza na vibaya ujitembeza. Mhe. Kafulila anauza au anatembeza?Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.
Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.
Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Kinacholeta hasara kwa Taifa kinaweza kuwa kizuri??Zamani niliambiwa kuwa Vizuri ujiuza na vibaya ujitembeza. Mhe. Kafulila anauza au anatembeza?
Ni kiwanja kina tatizo au waendeshaji wa kiwanja ndio tatizo?Kinacholeta hasara kwa Taifa kinaweza kuwa kizuri??
Huyu ndio Adani?Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.
Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.
Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
Kuna siku Tanzània itafikia sehemu nzuri tuKatika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.