New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

Me happy Nation Dar to Mbeya, waliniletea begi langu mpaka nyumbani, maana tulibadilishana na mtu kwa kuwa mabegi yalifanana rangi kila kitu.
 
Super feo/selous hawanaga huo ujinga,

Tena unatafutwa kwa simu ukafuate mzigo wako.
 
Huu uzi ni kama nilishausoma siku kadhaa zilizopita. Nadhani mleta uzi unastahili kukemewa. Unachokifanya sasa ni upuuzi. Kama kuna tatizo zaidi nenda mahakamani upate haki yako. New Force wakikugeuzia kibao utaipa taabu familia yako. Acha hiyo nia ovu.
Acha ujinga na vitisho vya kipumbavu. Kama mnatumwa waambien watanzania si wajinga kihivyo. Huu uzi utaendelea kusambazwa tena na tena ili mkome na tabia zenu za kishenzi
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Kama wewe ni mhusika, ingekuwa busara kama ungeomba radhi. Kwahiyo kama haya yanatokea sana ndio tukubaliane na ujinga huo? Mzigo ukipotea inakuwa liability ya nani?! Mtu mmecheleweshea biashara zake halafu mnakuja na majibu ya namna hiyo! Bongo customer care bado sana! Kesho mkikosa wateja mnaanza maneno kibao; mara kuna ushirikina, sijuwi uchawi na mambo mengine kibao, wakati kumbe mchawi mwenyewe ni wewe mwenyewe. Kuweni waaminifu na kuwajali wateja wenu; hii ndio siri kuu ya biashara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Lengo hao MAKU wajirekebishe
 
Siku nyingine nakushahuli pakia mzigo wako Abood awa jamaa wako vizuri sana kwenye issue za mizigo, achana na New force wana viburi sana
Sasa mzigo wangu unaenda sumbawanga hao abood ntawapata vipi?
 
Back
Top Bottom