New Force yapata ajali Kitonga

New Force yapata ajali Kitonga

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
 

Attachments

  • BkzUPWApc1Sr4HCJ.mp4
    4.4 MB
ukiona mwanaume kaweka gari yake barabaran na inafanya biashara ujue anapambana sana , we endele tu kuchagua na kusema ile gari sipandi imechoka ila gharama za uendeshaji na changamoto zake siyo za mchezo mchezo Dar Lux amevuta handbrake katafuta kivuli apumzike kwanza
 
Isingali kuwa gari la Muwekezaji kutoka nje lingefungiwa tayari.. ndio maana DP word wanapigiwa chapuo
 
Back
Top Bottom