Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka top 5 yako Basi iyo ya zamaniKwa sasa hivi simuoni hata moja rap ilikuwa Zamani aisee sio sasa
1.NgwairWeka top 5 yako Basi iyo ya zamani
usiku wa ma8 kaa natafakari... Ubongo kwenye bed macho kwenye Dari bwana daah... Kaua xaan mnyamwezConboi canabinho ni mnyamwezi mnoo.
Kama hujaiskia til I die yake basi wewe upo namtumbo
Usiku wa ma8 kaa natafakari. Ubongo kwenye bed macho kwenye Dari bwana daah. Kaua xaan mnyamwezConboi canabinho ni mnyamwezi mnoo.
Kama hujaiskia til I die yake basi wewe upo namtumbo