New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

Bongo kwenye hip hop tuko vizuri... alafu yale mabifu yasiyo na maana hawa marapa wayapunguze [emoji120]
 
Yaani blue mkali kuliko marehemu langa?
Langa Kileo alifanya Muziki tofauti sana na Mr blue...Mr blue ni Entertainer hakai sana kwenye misingi kitu kinachompa uwanda mpana wa kufanya Muziki hivyo kufanya hits nyingi wakati Langa aliangalia zaidi misngi ambayo inakufunga kwenye box dogo sana la kufanya muziki.

Kuwalinganisha hawa si sawa kwasababu hizo nilizotoa hapo juu.
 
Conboi canabinho ni mnyamwezi mnoo.
Kama hujaiskia til I die yake basi wewe upo namtumbo
unangoja nini? Umesanda ama nini? mbona wenzio akina salmin na lunya tunawaona afu we kama umeuchuna tunakuona ka uko nyuma samahani kama itakuuma ila mashabiki si tunataka vyuma hebu tuachie uqumer
 
1.Con boy.....Till I die na Twende.....jamaa kapita sana humu

2. Young Lunya....Though Kuna muda anakua anaongea ongea tu....
 
#NewGeneration[emoji146] : Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/HipHop Bongo ?

KINGS : (@younglunya x @iamconboi x @rapcha_tz x @maarifabigthinker x @kontawaa)

#WasafiDigital #BongoFleva #NewGenerationView attachment 1587394
Hawa ni wasanii si wanamuziki.....mwanamuziki gani anatumbuiza anatumia CD/playback? Tutolee uchafuu huu, wanaua vipaji vya wanamuziki bure. Ufike wakati tuache kuiga miziki ya watu na kuifanya yetu. Imbeni taarab, singeli na muziki wa dansi....wacheni kuiga iga mnaonekana wapuuzi tu.
 
Ana flow za kibabe wala habebwi...Utakuwa umemjua juzi we huyo Lunya.
Mkuu uyo ni mzee wa ku unga unga vina tu nilikua namkubali ila saivi anapotea ebu angalia ngoma zake za sasa ivi hadi jina la nyimbo yake anakosa kwa sababu hata yeye haelewi ngoma yake inaongelea nini..
 
Boshoo ninja
Chuma boy
Nyenza mc

Hiyo list yako, kwa hao hawagus
tangu uzi umeanza na wachangiaji kutoa maoni yao ni kiri kwamba kuanzia hapa ndio wasanii wa hip hop walipoanza kutajwa
 
Mkuu uyo ni mzee wa ku unga unga vina tu nilikua namkubali ila saivi anapotea ebu angalia ngoma zake za sasa ivi hadi jina la nyimbo yake anakosa kwa sababu hata yeye haelewi ngoma yake inaongelea nini..
Sawa bana ila miziki yote ya sikuhizi iko hivyo haina maana. Tunasikiliza for fun na vibes. Sioni sababu ya kumchukia mwamba eti sababu sijui anaunga vina as long as it sounds good to my ears ninainjoy kinoma kuliko hata kusikiliza takataka za Wasafi.
 
Back
Top Bottom