New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

Naitwa Rapture mchizi toka Shy town nna Barz nyingi kaa Sinza...Wangemtoa Maarifa The Big thinker wakamweka Salmin Swaggz au Mex cortez
 
Kiukweli kwa sasa hakuna best rapper anayefikia hata robo ya rapper wa generations zilizopita

Yaani sijaona wakufikia viwango vya akina Ngwea, Jay Mo, Prof J, Fid, MwanaFA, Chid benz, Afande Sele nk

Nikiwasikiliza hawa wa sasa unaona kabisa hakuna good rhymes, flowing style ya kawaida kabisa, kunata na beatz kuko chini sana,,,, yaani wapo wapo tu ktk nyimbo zao
 
Acha na hip pop njoo kwenye trap upunguze stress
conboi
gosby hawa vijana ni wamoto
 
Nilichogundua wabongo wengi hawaelewi wanachoulizwaa....sasa unaambiwa kizazi cha sasa inamaanisha ni madogo waliotoka mwaka huu au mwaka jana wewe unataja kina fid q[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiukweli kwa sasa hakuna best rapper anayefikia hata robo ya rapper wa generations zilizopita

Yaani sijaona wakufikia viwango vya akina Ngwea, Jay Mo, Prof J, Fid, MwanaFA, Chid benz, Afande Sele nk

Nikiwasikiliza hawa wa sasa unaona kabisa hakuna good rhymes, flowing style ya kawaida kabisa, kunata na beatz kuko chini sana,,,, yaani wapo wapo tu ktk nyimbo zao
Unamfahamu Mex Cortez? Vipi kuhusu Cholo?
 
Sure, mm sijawahi kumuelewa, jamaa anaongea ongea tu
Uyo dogo anabebwa tu.. leo nime download ngoma yake mpya inaitwa fimbo yani ngoma ni mbayaaaa..nikaona bora nimsikilize conboi tu japo mshkaji hatoitoi ngoma
 
1.Conboi
Huyu jamaa hakuna anayemgusa kwenye bongo rap kama kuna mtu anashaka juu ya huyu jamaa akasikilize above average, till i die, baby -conboi ft ibrah nation na less (humo ndani kuna salmin, lunya na conboi)

2.Lunya
Huyu jamaa anajua kiasi chake lakini nina wasiwasi na uwezo wake eakutengeneza nyimbo nzuri (achana na freestyle) hajawai kuwa na wimbo nzuri zaidi ya freestyle zake ambazo sio nyimbo official.

3.rapcha
Mkali, oldskul vibe na anaweza stick kwenye mada, sema ninahisi anaugonjwa kama wa lunya wa kutokuwa na uwezo wa kutengeneza ngoma kali.

Marapper wa zamani wakina ngwair na profesa jay walikuwa sio wanajua tu kuchana bali pia kutengeneza hits za hip hop hiki kitu ni kimekuwa kigumu sana kwa hawa rappers wetu wa sasa.
 
1.Conboi
Huyu jamaa hakuna anayemgusa kwenye bongo rap kama kuna mtu anashaka juu ya huyu jamaa akasikilize above average, till i die, baby -conboi ft ibrah nation na less (humo ndani kuna salmin, lunya na conboi)

2.Lunya
Huyu jamaa anajua kiasi chake lakini nina wasiwasi na uwezo wake eakutengeneza nyimbo nzuri (achana na freestyle) hajawai kuwa na wimbo nzuri zaidi ya freestyle zake ambazo sio nyimbo official.

3.rapcha
Mkali, oldskul vibe na anaweza stick kwenye mada, sema ninahisi anaugonjwa kama wa lunya wa kutokuwa na
Yaani mkuu umegusa mule mule sina haja ya kuandika mengi

Lunya anapotea huyu dogo abadiliki kila ngoma yupo vile vile.

Rapcha yupo vizuri akikaza atafika mbali

conboi huyu jamaa sijui kwanini hatoi ngoma. ila huyu jamaa ni moto.
 
Back
Top Bottom