New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

Atha twende karantini.. ha ha ha ha! mondi mpuuzi sana kweli watu wazima niwakuwaimbisha karantini..
 
Uzamani unakuharibu toa kungu la ujinga
 
Mkuu uyo ni mzee wa ku unga unga vina tu nilikua namkubali ila saivi anapotea ebu angalia ngoma zake za sasa ivi hadi jina la nyimbo yake anakosa kwa sababu hata yeye haelewi ngoma yake inaongelea nini..
Kana chana chana tu bila preferences
 
hiyo namba 4 ilitakiwa iwe on top kwenye list yako
Namfahamu Nala, nmekutana nae kwenye cypher na vilinge vingi kuanzia Kinasa Wazi, Makanta na Afrika Huru Street Cypher..nauelewa uwezo wake na nnauheshimu sana, anafanya poa sana kule underground! Ila binafsi naona kusema Nala ni bora zaidi ya Young Killer ni matusi kwenye game ya Hip-Hop. Ukiacha Young Killer kuwa rapa wa mainstream (labda ni kitu ambacho kinamfanya afeli baadhi ya sehemu kwa kujaribu ku switch), kwa maoni yangu, ni mkali zaidi ya Nala na wengine wengi.
 
Na pia utunzi wao mashairi na mistari havina ushirikiano.
Yaani mada haina mtiririko baada ya kila mstari mmoja mada inabadilika.
Angalau kidogo Roma na Ney wa mitego nyimbo zao zina mtiririko wa mada inayoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…